Hii ndio Sababu kwanini Mungu aliagiza wachawi wauawe

Yule inasemekana aliuliwa KICHAWI Na Mtume Na nabii mmoja baada ya marehemu kumuua KICHAWI mdogo wake Na Mtume Na Nabii huyo
Funguka tu, ni yupi? Weka hata codes tu. wanasiloam hadi leo wanasema alipaa mbinguni, wakapiga na picha mawingu sijui jini gani lilitumwa na shetani lije liwadanganye, mtu yupo kaburini wao wanasema wameona kivuli kinapaa mawinguni. vivuli vya kishetani hivyo mbona vingi sana huko indondesia hadi farasi wanarukaruka mawinguni watu wanasema malaika kumbe shetan kaja kuwachanganya akili waendelee kupotea. weka codes chief.
 
Siwezi kumtaja kaka
 
Wachawi na waganga yafaa watenganishwe na jamii. Ulaya walifanya hivyo wakawa na maendeleo.Ili kundi uharibu Sana jamii
 
Ila aliyeleta uchawi huku Africa alitukomesha

Majamaa hawana dogo kila kitu kwao ni kikubwa hebu fikiria eti wanafikia hatua ya mpaka kumuonea wivu zygote
Mchawi hana akili thus ufanya mambo ya kipumbavu
 
True thus huwa unakuta maisha ya sehemu fulani ufanana, vibaka, ufukara, ukahaba, nk
 
kama mkoa wa lindi hauwezi kuendelea kwasababu ya uchawi huko handeni nako nasikia balaa kuna sehemu kunaitwa kwa msisi ha ha ha ha
Kuna uchawi wa kufunga mtaa,wilaya,mkoa,nchi visiendelee unaitwa malila huu ufanywa na wazee wa eneo husika kwa manuizo ya kuzuia tamaduni mpya za wageni .Lindi imefungwa na zindiko kama lile la bagamoyo watu wake wamefanywa wawe na upeo Mdogo wa kufikiri thus huko ni rahisi kwa mzazi kumroga mwanae asiendelee.Hata Afrika imefungwa jiulize ndilo bara tajiri kuliko yote lakini waafrika Wana upeo Mdogo Sana kuhusu maendeleo.
Ogopa Sana watu wanaoitwa wazee,ukiwazoeza kuwakaribisha kwenye maisha yako lazima uwe masikini.Wazee wa mtaa, kijiji,mkoa chunga Sana watu hawa wote hao ni watu wakubwa Sana kwenye vyama vya kichawi.Wape tu haki yao ya kuwaheshimu usiwadharau ila mazoea wasikujue.
Ukiona ufanikiwi mtaa fulani au mkoa fulani jaribu kuhama nenda pengine.
Ooh pwani ma mwinyi ardhi tele ye rutuba nenda wewe kalime si umegraduate kilimo?
 
Ni ukweli kabisa umeongea mfano watu Sana wakiyumba kidogo tu kazini, kwenye biashara, mapenzi,masomo nk badala ya kukaa chini wajifunze kupitia vitabu au kupat ushauri wao uwahi haraka kudungwa chale kwa matapeli na still awapaki mafanikio ya matatizo yao.Watu wengi wamelishana upumbavu eti huwezi fanya biashara bila dawa au kuwa tajiri bila ndumba haya ni mawazo yaliyowekwa na shetani kwenye fikra za wengi kwa kuwaaminisha hivyo maana imani Ina nguvu,hata hao wanaofanikiwa baada ya kupigwa chale ukiangalia unakuta kilichowasaidia ni kanuni tu za kawaida za mafanikio mganga katumia tu kuwashika ufahamu wao kisaikolojia.
Ingekuwa ni rahisi tu unafanikwa kwa kutumia uchawi watz wengi wangekuwa na pesa bila hata kufanya kazi.
 
Ndumba upunguza uwezo wa kufikiri kwa kukupa matumaini hewa na kuifunga akili yako itegemee jujumen au manabii wa mafuta.Wengi awajui nguvu waliyonayo kuitumia kufanya makubwa.
Mungu alimuumba mwanadamu akiwa kakamilika na kuiweka ile nguvu ya kupambana na kutatua changamoto zake.
 

Umeandika vizuri ila hiyo akili ya mwanadamu bila Mungu haimuwezi shetani, why? Mwenzao 1:27 mwanadamu alitoa mamlaka yake kwa shetani.

Yeremia 10:23 BHN​

Najua, ee Mwenyezi-Mungu, binadamu hana uwezo na maisha yake; hakuna mtu awezaye kuyaongoza maisha yake.

“Kinachozungumzwa Hapo ni akili ya mwanadamu”
 
Mfano wengi vijijini wanaishi kwenye nyumba duni za udongo na nyasi huku wamezungukwa na udongo ambao wangeutumia kutengeneza tofali, vigae na pavers au kugeuza takataka za plastic zinazowazunguka kuwa vigae vya kuezekea.
 
True hata waganga upenda kuweka Kazi zao sehemu duni huwezi kuta vibanda vya waganga mitaa ya watu civilized wanaotumia akili zao, angalia sehemu zinazosifika kwa waganga ni sehemu duni Sana na upeo wao wa kufikiri Ili kutatua changamoto zao ni mdogo sana.
 
Mods futeni thread inapotosha
Mungu hajaagiza wachawi wauwawe
 
Mchawi ni kiumbe dhaifu kisicho na akili thus si ajabu kukuta mtu anamroga jirani yake kisa anajenga nyumba ya bati wakati hio nyumba ya bati atanufaika nayo kukinga maji ya mvua na kumpunguzia safarii ya kwenda mbali kufata maji,mtu mwenye akili hawezi loga,thus mchawi hana akili ndo maana ufanya mambo ya kipumbavu.
Anachoweza mchawi ni kuwaingizia watu hofu negative power ambayo ukiiaccept kwenye mind yako kwa kuikubali ndo inakumaliza.
 
Mods futeni thread inapotosha
Mungu hajaagiza wachawi wauwawe
Vitabu vyoote vimeagiza.
Wachawi na waganga wote bila kuwauwa na kuchoma moto vitu na vitabu vyao Jamii itaendelea kuteseka na kuwa masikini milele wao ndio upotosha watu wasitegemee akili zao bali wategemee akili zao ndogo thus Jamii haiendelei.
Ulaya waligun shuti wote na kuharibu kabisa Kazi zao thus wakapata Jamii yenye maendeleo inayofikiri kwa akili zao wenyewe na sio ndumba.
Waganga ufitinisha ndugu,jamii, waganga ndio uwapa nguvu vibaka wezi majambazi kuuwa, kuumiza,kulemaza watu wote hao awafanyi wizi bila mganga.Makahaba uharibu ndoa za watu kwa kutumia waganga, mganga ndie uwaaminisha watu eti bila dawa ufanyi biashara ni upumbavu mtupu na wizi kabisa wanawaibia watu pesa zao tu, maana mganga ni mfanyabiashara anaangalia pesa yako ndio hitaji lako.
So tusipowaondoa hawa watu kwenye Jamii tukubali kuendelea kuwa masikini,wezi mitaani,kuwa na Jamii yenye uwezo Mdogo wa kufikiri.
Watz ni masikini sababu ya uwezo Mdogo wa kufikiri na sio sababu hawana pesa,mitaji au raslimali.Mtoto tangu mchanga anadungwa chale anapakwa matakataka na kuaminishwa kumtegea mganga Ili afaulu mambo yake ni lzm atakuwa mvivu wa kufikiri matokeo yake tunapata Jamii yenye uwezo Mdogo Sana wa kufikiri.
Bila waganga kuharibu fikra zetu waafrika tungewazidi wazungu maendeleo maana tuna kila kitu
 
Mganga ukujengea uwezo wa kutokuitumia akili yako
 


Kama uchawi unatufanya tuwe gods by nature ndo ule tunaohadithiwa wa kugonga milango ya watu na matako huku umejipaka majivu bora hata wazungu walikuja.
 
Ndio maana nikamwambia hapo mwanzo kwamba uchawi ni kile usichokijua, ila ukishakijua tu, kinaacha kuwa uchawi. Pia atofautishe uchawi na roho mbaya.
 
Kama uchawi unatufanya tuwe gods by nature ndo ule tunaohadithiwa wa kugonga milango ya watu na matako huku umejipaka majivu bora hata wazungu walikuja.
Ni kama vile wanaume kuzibuliwa mitaro ya nyuma tunavyoona ni uchawi, wao wazungu hichocni kitu cha kawaida, na ukijaribu kukizuia wanakunyima misaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…