Hii ndio Sababu kwanini Mungu aliagiza wachawi wauawe

Okay
 
Si uingie google utafute tafsiri yake, au unafikiri kila mtu ni mwalimu wa kiingereza.
Yeye ametafsiri kwa kiswahili hiyo sentensi, lakini sikuona tafsiri ya neno suffer imetafsiriwa vipi, ndio nikauliza
 
Sawa, ila kwetu huku hicho kitendo ni kama uchawi, ila kwao ni cha kawaida, cultural values zinatofautiana
Ndumba upunguza uwezo wa kufikiri case study watu wanaopenda Sana waganga huwa na low thinking kwenye general reasoning pili huwa na confidence fake
 
Uchawi ni negative power Ina waathiri watu ambao ni inferiority
Unachanganya ‘uchawi’ na ‘Roho ya korosho’. Uchawi ni maarifa usiyoyajua, ukiyajua tu, si uchawi bali ni maarifa. Nenda 15th century na smartphone yako halafu uanze kupiga watu picha na kuwaonyesha, watakuita mchawi na kukumaliza, ila wakija kujua watakuita Genius wa ugunduzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…