Kama msomi anategemea miujiza kutoka kwa mchungaji asiyesoma unatarajia nini?Shida Tanzania haifwati meritocracy, ndiyo maana kila mahali ni uozo, uliona wapi jamii inayokejeli waliopata division 1 kwamba wako wapi sasa? Nchi nyingi high IQ ni kiashiria cha mafanikio kwamba ukifaulu vizuri kuanzia Msingi, Sekondari mpaka Elimu ya juu uwezekano wa kupata kazi nzuri ni mkubwa sana lkn TZ ni kinyume chake, angalia Viongozi wote wa vyama ya Siasa matapeli watupu, shida ni kutokufwata meritocratic system, …
Nchi hiii Ujinga na wajing wengi sana na ni mtaji wa CCMKuna mwanajeshi mhaya alisema yeye Kwenye Kozi hakupiga doso(mazoezi makali), baba yake alikuwa mstaafu wa jeshi, alitoa fungu mtoto wake akawa anadoji doso tu.
Sasa najiuliza tu, Vita vikizuka mwanajeshi Kama huyo si atakuwa wa kwanza kufa?
Chuo nilichosoma Mimi, Kuna mzee(Dean of students) alikuwa anafundisha masomo mawili. Alikuwa anatufelisha kwa makusudi alafu anamtuma mwanafunzi tuchange laki moja moja atuachie kwenye mtihani wa sup, tukigoma tuna Carry. Wanafunzi wa kike walikuwa hawadaiwi hela Bali ngono.
Ofisi yake imejitenga, ipo mbali kidogo na Ofisi za staff wenzake. Alikuwa akimpenda Mtoto wa kike anamtafutia sababu waonane ofisini(anaweza asimjazie coursework) Mtoto wa watu akimfuata anamuambia "rudishia mlango". Baada ya hapo anafungua zipu ya suruali anamuambia njoo ninyonye uume. Mbaya zaidi huyo mzee anasadikika ana UKIMWI. Sasa Mtoto wa watu akiwaza Hali ngumu ya maisha ya nyumbani na uwezekano wa ku Carry endapo atagoma, anawaza atapatia wapi gharama za kuishi chuoni mwaka ujao, anaamua kunyonya uume yaishe.
Wanafunzi waliwahi kumuwekea mtego, wakapata ushahidi na wakaenda TAKUKURU, mkuu wa chuo hicho ni Mwanasheria, akaingilia hiyo kesi ikafutwa kwa kigezo cha kwamba hazikufuatwa taratibu za kisheria na wanafunzi.
Wakuu, msishangae law school inavyowala vichwa wanafunzi. Kuna uwezekano hao wanafunzi walipata degree zao kwa mtindo wa kuwachangia hela wakufunzi.
Pote utakapogusa katikati nchi hii, pameoza.
Miaka ya nyuma, Kuna mtendaji wa kijijini aligoma kuniandikia barua ya utambulisho kwa sababu amenidai elfu 10, nilipomtaka anieleze hiyo hela ni ya Nini na je nitapata receipt? Akaanza kunitukana eti niache dharau, najifanya Nina Elimu kubwa Kuliko yeye wakati yeye Yupo kwenye Ofisi yake. Kwa kuwa barua ilikuwa ya muhimu Sana Ilibidi nimpe tu hiyo Hela.
Kwa nukta hizi, tusitarajie Maendeleo ya kweli hivi karibuni. Fake professionals, fake students, fake certificates, fake soldiers, fake local government leaders, fake politicians, fake development.
Nchi ngumu sana hii.
Sasa watu Kama nyie ndio mnatetea mifumo mibovu.Mtoa mada ukiambiwa utolee ushahidi hizo tuhuma zako nzito utakuwa na huo uwezo?
Kwa maana tuhuma zako zimegusa Taasisi ya Jeshi, na hiko Chuo Kikuu.
Sio vizuri kuharibu taswira nzuri za watu kwa mawazo ya kufikirika.
Wakati wanachambua kuwa huyu ni mwema huyu sio tayari taswira ya hiyo taasisi inakuwa imechafuka.kwani ukielezea stori ya 'mwanajeshi mmoja' ndiyo inakuwa wote wameharibika?
Kwenye kila taasisi wanakuweko wema, wafuataji wa sheria na wale ambao rushwa ndiyo maisha yao.
Vipi huyo mtoa mada ana ushihidi au hizo hearsay zake.Sasa watu Kama nyie ndio mnatetea mifumo mibovu.
Ni mwendo wa kutania maisha tu
Ukiwa serous hii Nchi haikufai. Unapaswa kuishi ki comedy tu ndio utakuwa na amani.
Fikiria report ya CAG kila mwaka inaibua madudu lakini haileti mabadiriko yoyote.
Raia tumetanguliza ushabiki,kiongozi unayemhusudu hata akiharibu unasema hana kosa hapo tutegemee nini.
Una maana gani![]()
Unfortunately, sehemu kubwa ya nyuzi humu JF ni full miropoko
Nawafokea kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaani Tanzania. Kwa bahati mbaya ninapofungua nyuzi nyingi humu JF, sipati ile intellectual content, yaani taarifa zilizo na facts and figures au proof ambazo zinaweza ku substantiate allegations made au hypothesis iliyokua put...www.jamiiforums.com
Unauhakika hicho kioo hakikua fake?
Kwahiyo tusahau MaendeleoLugha rahisi hii nchi wengi tunaigiliza kuishi so hata kuendslsa tutaendelea kama nchi ya waigiza Maendelso.
Hata hio roho nzuri haikusaidii kitu kwa maisha haya,dunia haina usawa[emoji28][emoji28][emoji28]