Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
- Thread starter
- #41
Chuo
KikuuWe umesoma chuo gani?
KikuuWe umesoma chuo gani?
Acha unoko wa kijinga ww! Ushahidi wa nini? Nani asiyejua nchi hii imeoza kila mahali na inanuka kama panya aliyekufa wiki iliyopita?Mtoa mada ukiambiwa utolee ushahidi hizo tuhuma zako nzito utakuwa na huo uwezo?
Kwa maana tuhuma zako zimegusa Taasisi ya Jeshi, na hiko Chuo Kikuu.
Sio vizuri kuharibu taswira nzuri za watu kwa mawazo ya kufikirika.
Sijaelewa. Yaani shuleni alikuwa vizuri alafu kazini ni mbovu?Uneyosema ni kweli mkuu ,mm nimewahi kusoma na MWAMBA Mmoja Toka shule ya msingi mpaka advance alikuwa mtaalam wa kutazamia na ninavyosema Sasa ni mtumishi wa umma.
Ni kilaza pure ila Sasa utafanyaje ndiyo hiyo janja janja Kila Kona
Inakera Sana, wakati mwingine inachochea chukikila taasisi za kiserikali watendaji wake wamezigeuza ni vyanzo vya mapato yao
kuna mtu nilienda kumripot polisi ili akamatwe nikawapa mpaka location anapopatikana na muda anaokuwepo lakini afande yule aliniambia nichangie hela ya mafuta ili wakamkamate mtuhumiwa wangu muda huohuo,nikaona huu upuuzi acha nimsamehe tu mtuhumiwa wangu,nikamwambia yule afande tena kwa kujiamini "hili sio jeshi ni genge la wavaa sare" halafu nikachora zangu
fake policeman
Mawazo ya kufikirika wakati alikiri mwenyeweMtoa mada ukiambiwa utolee ushahidi hizo tuhuma zako nzito utakuwa na huo uwezo?
Kwa maana tuhuma zako zimegusa Taasisi ya Jeshi, na hiko Chuo Kikuu.
Sio vizuri kuharibu taswira nzuri za watu kwa mawazo ya kufikirika.
we poyoyo hizi porojo zako ni uzushi tu. We una matatizo ya afya ya akili nenda katibiwe mapema yajayo kwako yanasikitishaKuna mwanajeshi mhaya alisema yeye Kwenye Kozi hakupiga doso(mazoezi makali), baba yake alikuwa mstaafu wa jeshi, alitoa fungu mtoto wake akawa anadoji doso tu.
Sasa najiuliza tu, Vita vikizuka mwanajeshi Kama huyo si atakuwa wa kwanza kufa?
Chuo nilichosoma Mimi, Kuna mzee(Dean of students) alikuwa anafundisha masomo mawili. Alikuwa anatufelisha kwa makusudi alafu anamtuma mwanafunzi tuchange laki moja moja atuachie kwenye mtihani wa sup, tukigoma tuna Carry. Wanafunzi wa kike walikuwa hawadaiwi hela Bali ngono.
Ofisi yake imejitenga, ipo mbali kidogo na Ofisi za staff wenzake. Alikuwa akimpenda Mtoto wa kike anamtafutia sababu waonane ofisini(anaweza asimjazie coursework) Mtoto wa watu akimfuata anamuambia "rudishia mlango". Baada ya hapo anafungua zipu ya suruali anamuambia njoo ninyonye uume. Mbaya zaidi huyo mzee anasadikika ana UKIMWI. Sasa Mtoto wa watu akiwaza Hali ngumu ya maisha ya nyumbani na uwezekano wa ku Carry endapo atagoma, anawaza atapatia wapi gharama za kuishi chuoni mwaka ujao, anaamua kunyonya uume yaishe.
Wanafunzi waliwahi kumuwekea mtego, wakapata ushahidi na wakaenda TAKUKURU, mkuu wa chuo hicho ni Mwanasheria, akaingilia hiyo kesi ikafutwa kwa kigezo cha kwamba hazikufuatwa taratibu za kisheria na wanafunzi.
Wakuu, msishangae law school inavyowala vichwa wanafunzi. Kuna uwezekano hao wanafunzi walipata degree zao kwa mtindo wa kuwachangia hela wakufunzi.
Pote utakapogusa katikati nchi hii, pameoza.
Miaka ya nyuma, Kuna mtendaji wa kijijini aligoma kuniandikia barua ya utambulisho kwa sababu amenidai elfu 10, nilipomtaka anieleze hiyo hela ni ya Nini na je nitapata receipt? Akaanza kunitukana eti niache dharau, najifanya Nina Elimu kubwa Kuliko yeye wakati yeye Yupo kwenye Ofisi yake. Kwa kuwa barua ilikuwa ya muhimu Sana Ilibidi nimpe tu hiyo Hela.
Kwa nukta hizi, tusitarajie Maendeleo ya kweli hivi karibuni. Fake professionals, fake students, fake certificates, fake soldiers, fake local government leaders, fake politicians, fake fake... fvck up fake development
Nchi ngumu sana hii.
KaribuNimeipenda sana hii thread halafu ni ile naamka asubuhi sana na kufungua JF nakutana na hii thread
Inachukiza Sana mkuukila mahala janja janja... incompetency everywhere, matokeo yake ni maafa kwenye jamii.
😡😡😡we poyoyo hizi porojo zako ni uzushi tu. We una matatizo ya afya ya akili nenda katibiwe mapema yajayo kwako yanasikitisha
watakaomsupport huyu mwendawazimu watakuwa wendawazimu wenzake. Mtu anayeweza kuandika mambo km hayo hajali km siyo mwendawazimu ni nini? Hakuna mambo km hayo, hawa vijana wanaumwa tena ugonjwa hatari. Jeshini yeye alishafika? Chuo gani kina mambo ya hovyo km hicho? Mi nimefanya kazi vyuo vikuu vitatu nchi hii, huyo ni taahira siyo mtu wa kawaida. Mpaka unaogopa kusoma huu uchafuMtoa mada ukiambiwa utolee ushahidi hizo tuhuma zako nzito utakuwa na huo uwezo?
Kwa maana tuhuma zako zimegusa Taasisi ya Jeshi, na hiko Chuo Kikuu.
Sio vizuri kuharibu taswira nzuri za watu kwa mawazo ya kufikirika.
Ukiona mtu hapendi ukweli ujuwe ananufaika na dhulmaAcha unoko wa kijinga ww! Ushahidi wa nini? Nani asiyejua nchi hii imeoza kila mahali na inanuka kama panya aliyekufa wiki iliyopita?
Matukio yote inaonesha ameyafahamu kwa kuhadithiwa, huo ushahidi atautoa wapi.Acha unoko wa kijinga ww! Ushahidi wa nini? Nani asiyejua nchi hii imeoza kila mahali na inanuka kama panya aliyekufa wiki iliyopita?
Unapinga hoja au unanitukana?watakaomsupport huyu mwendawazimu watakuwa wendawazimu wenzake. Mtu anayeweza kuandika mambo km hayo hajali km siyo mwendawazimu ni nini? Hakuna mambo km hayo, hawa vijana wanaumwa tena ugonjwa hatari. Jeshini yeye alishafika? Chuo gani kina mambo ya hovyo km hicho? Mi nimefanya kazi vyuo vikuu vitatu nchi hii, huyo ni taahira siyo mtu wa kawaida. Mpaka unaogopa kusoma huu uchafu
Hilo tukio la huyo Mwanafunzi mlipaswa mliripoti kwa Dean of Student wakati lilipotokea ila ninyi hamkufanya hivyo, na pengine hata huyo Mwanafunzi Mhanga atakuwa amekwisha hitimu Chuo.Mawazo ya kudikirika wakati alikiri mwenyewe
watakaomsupport huyu mwendawazimu watakuwa wendawazimu wenzake. Mtu anayeweza kuandika mambo km hayo hajali km siyo mwendawazimu ni nini? Hakuna mambo km hayo, hawa vijana wanaumwa tena ugonjwa hatari. Jeshini yeye alishafika? Chuo gani kina mambo ya hovyo km hicho? Mi nimefanya kazi vyuo vikuu vitatu nchi hii, huyo ni taahira siyo mtu wa kawaida. Mpaka unaogopa kusoma huu uchafu
Mtoa mada hakuna alicholipoti zaidi ya tuhuma ambazo haziwezi kuthibitika, anazungumzia matukio ya kuhadithiwa kwamba fulani aliniambiwa sijui blah blah gani.watakaomsupport huyu mwendawazimu watakuwa wendawazimu wenzake. Mtu anayeweza kuandika mambo km hayo hajali km siyo mwendawazimu ni nini? Hakuna mambo km hayo, hawa vijana wanaumwa tena ugonjwa hatari. Jeshini yeye alishafika? Chuo gani kina mambo ya hovyo km hicho? Mi nimefanya kazi vyuo vikuu vitatu nchi hii, huyo ni taahira siyo mtu wa kawaida. Mpaka unaogopa kusoma huu uchafu
You kill it all man.. sijafikiria tena kuja kuishi Tanzania labda kutembea tu.. Tanzania ni nchi fulani hivi iko f**up sana kwenye kila eneo..Kuna mwanajeshi mhaya alisema yeye Kwenye Kozi hakupiga doso(mazoezi makali), baba yake alikuwa mstaafu wa jeshi, alitoa fungu mtoto wake akawa anadoji doso tu.
Sasa najiuliza tu, Vita vikizuka mwanajeshi Kama huyo si atakuwa wa kwanza kufa?
Chuo nilichosoma Mimi, Kuna mzee(Dean of students) alikuwa anafundisha masomo mawili. Alikuwa anatufelisha kwa makusudi alafu anamtuma mwanafunzi tuchange laki moja moja atuachie kwenye mtihani wa sup, tukigoma tuna Carry. Wanafunzi wa kike walikuwa hawadaiwi hela Bali ngono.
Ofisi yake imejitenga, ipo mbali kidogo na Ofisi za staff wenzake. Alikuwa akimpenda Mtoto wa kike anamtafutia sababu waonane ofisini(anaweza asimjazie coursework) Mtoto wa watu akimfuata anamuambia "rudishia mlango". Baada ya hapo anafungua zipu ya suruali anamuambia njoo ninyonye uume. Mbaya zaidi huyo mzee anasadikika ana UKIMWI. Sasa Mtoto wa watu akiwaza Hali ngumu ya maisha ya nyumbani na uwezekano wa ku Carry endapo atagoma, anawaza atapatia wapi gharama za kuishi chuoni mwaka ujao, anaamua kunyonya uume yaishe.
Wanafunzi waliwahi kumuwekea mtego, wakapata ushahidi na wakaenda TAKUKURU, mkuu wa chuo hicho ni Mwanasheria, akaingilia hiyo kesi ikafutwa kwa kigezo cha kwamba hazikufuatwa taratibu za kisheria na wanafunzi.
Wakuu, msishangae law school inavyowala vichwa wanafunzi. Kuna uwezekano hao wanafunzi walipata degree zao kwa mtindo wa kuwachangia hela wakufunzi.
Pote utakapogusa katikati nchi hii, pameoza.
Miaka ya nyuma, Kuna mtendaji wa kijijini aligoma kuniandikia barua ya utambulisho kwa sababu amenidai elfu 10, nilipomtaka anieleze hiyo hela ni ya Nini na je nitapata receipt? Akaanza kunitukana eti niache dharau, najifanya Nina Elimu kubwa Kuliko yeye wakati yeye Yupo kwenye Ofisi yake. Kwa kuwa barua ilikuwa ya muhimu Sana Ilibidi nimpe tu hiyo Hela.
Kwa nukta hizi, tusitarajie Maendeleo ya kweli hivi karibuni. Fake professionals, fake students, fake certificates, fake soldiers, fake local government leaders, fake politicians, fake fake... fvck up fake development
Nchi ngumu sana hii.
Hii nchi hatuendelei kwasabu moja tu hatuna mfumo mzuri wa kiuongozi ....hizo zingine zote ni bla bla ambazo nikikwambia uthibitishe sina hakika kama utawezaKuna mwanajeshi mhaya alisema yeye Kwenye Kozi hakupiga doso(mazoezi makali), baba yake alikuwa mstaafu wa jeshi, alitoa fungu mtoto wake akawa anadoji doso tu.