Hii ndio sababu kwanini Nchi hii hatutaendelea hata Miaka Milioni 1 ijayo

Nimeipenda sana hii thread halafu ni ile naamka asubuhi sana na kufungua JF nakutana na hii thread
 
Kama msomi anategemea miujiza kutoka kwa mchungaji asiyesoma unatarajia nini?
 
fake life.
fake everything naungana na ww Mr fake 😂😂😂
ni ukweli usiopingiza maisha ya sasa hupati kitu bila kutoa kitu so sad 😥😥
 
kila mahala janja janja... incompetency everywhere, matokeo yake ni maafa kwenye jamii.
 
Bongo janja nyingi sana watu wanatafuta elimu kwa njiw yeyote ile kama utajiri..
 
Kumbe hawakufelishwa mpaka wakalipia laki ndio maana wakastrago law school? Unajikontradict
 
Nchi hiii Ujinga na wajing wengi sana na ni mtaji wa CCM
 
Mtoa mada ukiambiwa utolee ushahidi hizo tuhuma zako nzito utakuwa na huo uwezo?

Kwa maana tuhuma zako zimegusa Taasisi ya Jeshi, na hiko Chuo Kikuu.

Sio vizuri kuharibu taswira nzuri za watu kwa mawazo ya kufikirika.
Sasa watu Kama nyie ndio mnatetea mifumo mibovu.
 
kwani ukielezea stori ya 'mwanajeshi mmoja' ndiyo inakuwa wote wameharibika?

Kwenye kila taasisi wanakuweko wema, wafuataji wa sheria na wale ambao rushwa ndiyo maisha yao.
Wakati wanachambua kuwa huyu ni mwema huyu sio tayari taswira ya hiyo taasisi inakuwa imechafuka.

Hakuna mahali jeshini ambapo unaweza uka dodge mafunzo, ikitokea labda siku 1 au mbili tena labda kwa kuugua.

Anachofanya mtoa mada ni kuchafua hizo taasisi.
 
Sasa watu Kama nyie ndio mnatetea mifumo mibovu.
Vipi huyo mtoa mada ana ushihidi au hizo hearsay zake.

Yaani chanzo cha taarifa yake ni kusikia kwa mtu wa pili sijui watatu.

Hapo ndiyo utata wa taarifa yake
 
Ukiwa serous hii Nchi haikufai. Unapaswa kuishi ki comedy tu ndio utakuwa na amani.
Fikiria report ya CAG kila mwaka inaibua madudu lakini haileti mabadiriko yoyote.
Raia tumetanguliza ushabiki,kiongozi unayemhusudu hata akiharibu unasema hana kosa hapo tutegemee nini.
 
 

Una maana gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…