Hii ndio sababu kwanini Nchi hii hatutaendelea hata Miaka Milioni 1 ijayo

Mtoa mada ukiambiwa utolee ushahidi hizo tuhuma zako nzito utakuwa na huo uwezo?

Kwa maana tuhuma zako zimegusa Taasisi ya Jeshi, na hiko Chuo Kikuu.

Sio vizuri kuharibu taswira nzuri za watu kwa mawazo ya kufikirika.
Acha unoko wa kijinga ww! Ushahidi wa nini? Nani asiyejua nchi hii imeoza kila mahali na inanuka kama panya aliyekufa wiki iliyopita?
 
Uneyosema ni kweli mkuu ,mm nimewahi kusoma na MWAMBA Mmoja Toka shule ya msingi mpaka advance alikuwa mtaalam wa kutazamia na ninavyosema Sasa ni mtumishi wa umma.

Ni kilaza pure ila Sasa utafanyaje ndiyo hiyo janja janja Kila Kona
Sijaelewa. Yaani shuleni alikuwa vizuri alafu kazini ni mbovu?
 
Inakera Sana, wakati mwingine inachochea chuki
 
Mtoa mada ukiambiwa utolee ushahidi hizo tuhuma zako nzito utakuwa na huo uwezo?

Kwa maana tuhuma zako zimegusa Taasisi ya Jeshi, na hiko Chuo Kikuu.

Sio vizuri kuharibu taswira nzuri za watu kwa mawazo ya kufikirika.
Mawazo ya kufikirika wakati alikiri mwenyewe
 
we poyoyo hizi porojo zako ni uzushi tu. We una matatizo ya afya ya akili nenda katibiwe mapema yajayo kwako yanasikitisha
 
Mtoa mada ukiambiwa utolee ushahidi hizo tuhuma zako nzito utakuwa na huo uwezo?

Kwa maana tuhuma zako zimegusa Taasisi ya Jeshi, na hiko Chuo Kikuu.

Sio vizuri kuharibu taswira nzuri za watu kwa mawazo ya kufikirika.
watakaomsupport huyu mwendawazimu watakuwa wendawazimu wenzake. Mtu anayeweza kuandika mambo km hayo hajali km siyo mwendawazimu ni nini? Hakuna mambo km hayo, hawa vijana wanaumwa tena ugonjwa hatari. Jeshini yeye alishafika? Chuo gani kina mambo ya hovyo km hicho? Mi nimefanya kazi vyuo vikuu vitatu nchi hii, huyo ni taahira siyo mtu wa kawaida. Mpaka unaogopa kusoma huu uchafu
 
Acha unoko wa kijinga ww! Ushahidi wa nini? Nani asiyejua nchi hii imeoza kila mahali na inanuka kama panya aliyekufa wiki iliyopita?
Matukio yote inaonesha ameyafahamu kwa kuhadithiwa, huo ushahidi atautoa wapi.

Hapa ndipo ilipo hoja yangu
 
Unapinga hoja au unanitukana?
 
Mawazo ya kudikirika wakati alikiri mwenyewe
Hilo tukio la huyo Mwanafunzi mlipaswa mliripoti kwa Dean of Student wakati lilipotokea ila ninyi hamkufanya hivyo, na pengine hata huyo Mwanafunzi Mhanga atakuwa amekwisha hitimu Chuo.

Hilo tukio la Jeshini halitakuwa na ukweli as wewe umelipata kwa kuhadithiwa ambapo linatilia mashaka uhalali wake
 

Kila nikitaka kutoa hoja moyo unasema nami.
We Erli please wait. Mwanasheria wako aje akuruhusu uchangie mada maana usiingie kichwa kichwa ukahama nchi!

Sasa wanaJF Kabla hajaja mwanasheria wangu me nipeni maua yangu tu niyanuse na nifurahi! [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mtoa mada hakuna alicholipoti zaidi ya tuhuma ambazo haziwezi kuthibitika, anazungumzia matukio ya kuhadithiwa kwamba fulani aliniambiwa sijui blah blah gani.
 
You kill it all man.. sijafikiria tena kuja kuishi Tanzania labda kutembea tu.. Tanzania ni nchi fulani hivi iko f**up sana kwenye kila eneo..
 
Hii nchi hatuendelei kwasabu moja tu hatuna mfumo mzuri wa kiuongozi ....hizo zingine zote ni bla bla ambazo nikikwambia uthibitishe sina hakika kama utaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…