Hii ndio sababu kwanini Nchi hii hatutaendelea hata Miaka Milioni 1 ijayo

Wabunge fake, Rais Fake, mawaziri fake, watendaji fake halafu unatarajia kupata maendeleo..!!!

Nchi ina mifumo mibovu mno.
 
Wakuu, msishangae law school inavyowala vichwa wanafunzi. Kuna uwezekano hao wanafunzi walipata degree zao kwa mtindo wa kuwachangia hela wakufunzi.

Na wakashindwa tena kuwachangia hela hao wakufunzi wa Law School ili wawafaulishe?
 
UFISADI Ni donda sugu katika nchi nyingi za kiAfrika.
 
Uzi wa kibabe sana huu

Nchi kila kitu fake fake

Sehemu zote walizopewa nafasi watu ni fake fake tu

Ova
 
Jiwe limekupata

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…