Hii ndio sababu kwanini utaoa/olewa na mtu asiye sahihi


Mliosoma huu uzi mtajuta,,ambao hamjasoma pia mtajuta..

Usome au usisome wote mtajuta
 
Mkuu nakupongeza sana kwa uzi wako huu,uzi ni mzuri sana mkuu.nimeusoma neno kwa nenk saa tisa usiku.

Juzi niliusoma uzi huu ila sikuupata vizuri,leo nilipotulia nikasema niusoma akwa utulivu neno kwa neno.

Huu uzi umejaa nondo sana,ila watz hawawezi kkuelewa kwa sababu hawataki kusoma na kutafakari.

Kuna vitu ukisoma ili uelewe inakupasa ukisoma ukitafakari na kukichataka kwa sekunde kadhaa kisha unaendelea na ibara zingine.

Huu uzi mzuri sana mkuu.
 
Hii nyuzi mbona kama naona kizungu zungu? Au nina usingizi sana?
 
Nakazia

Mleta Mada Usituelewe Vibaya Tunahangaika Ruvu Kutafuta Maji
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…zile google translator zinakuwaga hivi. Yaani unasoma mpaka mwisho kichwa kinaanza kukuuma.
 
hio sentensi imekaa kindezi kweli ukimuongelea hivyo binti wa Sinza lazma kiumane tu๐Ÿ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ