Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Unaweza ukampiga bao jamaa wa TMT kama ukiamua kutulia uje na gia ganiEti "kimkakati" Ahahaha hili neno huwa linasound kitapeli sana mkuu. Kuanzie Kwenye politics hadi business.
hahaaa. Jamaa alikua na upekee gani?Katika maisha yangu nimemuona genius mmoja,anaitwa Loi.Form six alipata 0.Lakini kila mtu anaemjua anasema the guy is the genius!!
Brother, I'm expecting your PM.Eti "kimkakati" Ahahaha hili neno huwa linasound kitapeli sana mkuu. Kuanzie Kwenye politics hadi business.
Leta stor yaki japo kidog mkuu kam unaifahamNyerere ilibidi acheke tu na kusema muacheni huyo muhaya.
Jamaa alienda kwa Nyerere akamkuta Nyerere anafyatua matofali kibao, akawa anapiga naye story huku ananyoosha mikono kwenye matofali.Leta stor yaki japo kidog mkuu kam unaifaham
I'm introvert
na nipo group la kwanza yani sifa zote ulizoandika ni kama unanizungumzia Mimi ,napenda sana hesabu nimeanza kuipenda tangu shule ya msingi hadi sasa nipo chuo na ndo somo ambalo nimefahuru kuliko mengine na natamani ningekuwa nasoma hesabu tu,pia unavyomzungumia Albert Einstein's kuhusu kumudu hesabu kuliko masomo mengine kipindi Yupo chuo ni kama Mimi tu nilivyo,
pia napenda sana kujifunza vitu vipya vyipa muda wote kupita kusoma yani najikuta nasoma kila aina ya takataka sijali inahusu business, gambling,science,
pia napenda sana kusikiliza music ,kucheck movies sipendi,napenda muda mwingi kukaa peke yangu,pia muda wote nafikiria sana vitu vingi vingi ,
wakati nipo semester ya kwanza nilijishangaa sana ,na pia wanafunzi wenzangu walishangaa sana baada ya kupata 100% business mathematics
Katika aya ya kwanza nadhani kuna tofauti mimi niliwahi mno kuongea
Niko very sensitive
Nikikaa nje halafu mtu anataka kuniita namfikia kabla hajanyanyua mdomo
Kwenye kupika nako hivyo hivyo nikiunguza labda nina stress sana.
Kuna vitu vingi mno hata nikiwa kwenye biashara naweza mpoint mtu nikamwangalia mpaka akanunua bidhaa namna nilivyotarajia
Nina sense vitu vingi vya baadae
Naongea kidogo nikiwa najisikia naongea sana
Mwanangu sasa yeye haongei kabisa, ila baba yake akiwa njiani anakwambia naenda kumpokea baba na hapo sijamwambia na pengine sijui
Mara atakwambia mvua hiyo mkikaa dakika kadhaa mvua inanyesha
Na mambo yake mengi mengi
Ameanza kuongea mdogo sana ila anaongea kwa nadra sana
Jamaa is simply a genius,wewe lete mada yoyote,iwe ya kisiasa-rais wa nchi yoyote duniani,historia zao,historia ya nchi zao,nk,sayansi-viumbe vya baharini,nchi kavu,sayansi,uchumi,michezo-soka,boxing,rugby,wrestling,movie-sema movie yoyote anaweza kukutajia wahusika majina yaohalisi,asili yao wanakotoka,historia zao,kila kitu atakupa reference ya hicho kitu kwa kukot kwenye kitabu au source yoyote mwaka,eneo,wahusika,neno kwa neno.Yaani ukibishana nae unaumbuka..Incredible memories!!Yaan hata alivyofeli kila mtu aliendelea kumheshimu genius.Unaweza kuta anatembea anacheka mwenyewe kwa material yanavyotiririka kichwani.Acha kabisahahaaa. Jamaa alikua na upekee gani?
Yes because most of the time wanapenda kuishi wenyewe alaf ni ngumu sana wao kusihi na ma gf au kuwa na wake. Mind zao zina calculate masaa 24/7 ndio maana hawana muda na vitu kama ngono, kutembelea watu.. wako tofauti sana.Hao wa juu pia huwa domo zege
Bipolar disorder haina dawa, ila kuna methods za ku suppress hiyo hali au method za ku control hiyo hali ili isi dhuru maeneo mengine ya maisha yako.Bipolar disorder inanisumbua I wish one day uje na solution may b unaweza saidia na wengine
I beleive they are born. Because kuna thin red line between genius and madness, na hiii yote iko down to brain make up in relation to genitics za mtu husikaIs genius born or made?