stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
Watakuwepo tu sema ndo labda hawajulikani..Hivi Tanzania hakuna hata mtu mmoja aliewahi kutokea mwenye trait za genius?
Hahahhh.. Wanatumiaga hela haoHawa watu hata kutongoza ni wavivu akizinguliwa siku ya kwanza tu imetoka hiyo
Hawapendagi kupoteza muda kumshawishi mtu kwenye jambo ambalo wao wanaamini wako sahihiHahahhh.. Wanatumiaga hela hao
Licha ya hivyo akili yao huwa haina sehemu ya kuwazia mapenzi na ndio maana magenius wote hawana love story their brain inaconcrtrates na kitu kimoja specifically.Hawapendagi kupoteza muda kumshawishi mtu kwenye jambo ambalo wao wanaamini wako sahihi
Kwa binadamu yeyote aliekamilika hawezi kukwepa mapenzi sema wao huwa wakipenda wamependa na ukimzingua ana keep aut muda huohuoLicha ya hivyo akili yao huwa haina sehemu ya kuwazia mapenzi na ndio maana magenius wote hawana love story their brain inaconcrtrates na kitu kimoja specifically.
Maana huwa hawapendi kusumbuliwa they enjoy being alone. It comes automatically to them.
Wafuatilie zaidi magenius wao mapenzi kwa ni kukwamisha kazi zao.Kwa binadamu yeyote aliekamilika hawezi kukwepa mapenzi sema wao huwa wakipenda wamependa na ukimzingua ana keep aut muda huohuo
Born not made,there are some genetic and heredity variation adopted from one generation to another.Exactly my question.
Unanikumbusha nikiwa primary pale Mwanza kwenye shule ya msingi Nyakabungo, nilisoma na jamaa anaitwa TIBASIMA..alikuwa sio mzuri sana kwenye masomon but uchoraji ulimpeleka hadi London na kumpa maisha mazuri na deal kubwa sana kuanzia DW, Twaweza, Hakielimu, Sahlingon e.t.cKwa kweli umenigusa maana mimi tokea niko primary nilikuwa nafaulu sana kwenye somo la uchoraji ila masomo yote nilikuwa nafeli sana hata kuongea point mbele ya kundi la wanafunzi wenzangu nilikuwa najichanganganya sana ila uchoraji ulinipa tuzo kwa kushika nafasi ya kwanza wilaya,mkoa na 3 kitaifa kwa kutumia mkono wangu wa kushoto.....
Ahahaha!! We jamaa unanivuna vizuri sana.mkuu naendelea kusubiri nondo zako nyingine....maana naona darasa tosha hapa...
Na alikuwa na usonjiJ.K Nyerere was a genius!
Nakubaliana wewe sawa na Masoud Kipanya huyo jamaa namuonaga ana akili sana hata akiwa kwenye kipindi PowerBreakfast hoja zake unaona jamaa ana akili sana.Mtu yeyote mwenye uwezo wa kuchora, anakua na akili sana.
Pia kundi la Intelligents, wanapenda ni hatari kwa nkupiga kazi (sijui kwa wanawake, hapa narejea wanaume). Majinias wenyewe hawana muda na hayo mambo.
Mkuu umenikumbusha mbaali sana aisee huyu Marco Tibasima yuko wapi aise? Mkuu unaonekana na wewe ni mhenga!!Unanikumbusha nikiwa primary pale Mwanza kwenye shule ya msingi Nyakabungo, nilisoma na jamaa anaitwa TIBASIMA..alikuwa sio mzuri sana kwenye masomon but uchoraji ulimpeleka hadi London na kumpa maisha mazuri na deal kubwa sana kuanzia DW, Twaweza, Hakielimu, Sahlingon e.t.c
He was intelligent and genius Kwenye kuchora na sio kingine na hadi Leo hii wale waliofaulu darasa la saba na kwenda Mwanza secondary (prestige school) kwa kipindi kile wakiamini wametusua ajabu hadi leo elimu yao haijawafanyia lolote kubwa.
Usifanye mistake wafrika wengi inayotufelisha, kujichunguza kitu tunachofanya vizuri na kukipalilia na kukilinda. Jikite kwenye uchoraji huko huko something magical may happen.
Kila la kheri mkuu!
Mimi sio mhenga mkuu... Mimi ni janki tu wa late 20's..unajua tibasima hili jina wanalitumia ukoo mzima kuanzia senior hadi junior.. Sasa Mimi nilisoma na wale majunior ambao walikuwa wanajua zaidi kuliko kaka yao yule senior.Mkuu umenikumbusha mbaali sana aisee huyu Marco Tibasima yuko wapi aise? Mkuu unaonekana na wewe ni mhenga!!