Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli

Hivi Tanzania hakuna hata mtu mmoja aliewahi kutokea mwenye trait za genius?
Watakuwepo tu sema ndo labda hawajulikani..

Hivi hawa vipanga wanaoongozaga kwenye matokeo kitaifa(frm4,6 chuo)... huwa wanaishiaga wapi?
unakuta dogo kapasua mitihani kama katunga yeye.. Si ndo genious wenyewe hawa [emoji3][emoji3]
 
Hawa watu hata kutongoza ni wavivu akizinguliwa siku ya kwanza tu imetoka hiyo
 
Hawapendagi kupoteza muda kumshawishi mtu kwenye jambo ambalo wao wanaamini wako sahihi
Licha ya hivyo akili yao huwa haina sehemu ya kuwazia mapenzi na ndio maana magenius wote hawana love story their brain inaconcrtrates na kitu kimoja specifically.

Maana huwa hawapendi kusumbuliwa they enjoy being alone. It comes automatically to them.
 
Kwa binadamu yeyote aliekamilika hawezi kukwepa mapenzi sema wao huwa wakipenda wamependa na ukimzingua ana keep aut muda huohuo
 
Wafuatilie zaidi magenius wao mapenzi kwa ni kukwamisha kazi zao.

Mtu anaependa kukaa mwenyewe ukimletea mtu wa kumpa stress eti ukamwita mpenzi atamkimbia soon tu ni mateso they don't like company.. They "talk small" hivyo hawahutaji kupata mtu wa kuwatoa kwenye focus ya Mawazo yao.

Albert Einstein aliishi na mbwa wake tu kwa miaka kibao. Hawa huwa hawana hata hisia za ngono maana part kubwa ya ngono ni hisia na ziko Kwenye ubongo sasa ubongo wao hawa wote huko preoccupied na deep thinking ya kitu kimoja. Baada ya Einstein kufariki kuna Daktari mmoja aliiba ubongo wake na kuufanyia utafiti aligundua ubongo wake ni tofauti kabisa na wetu sisi binadamu wengi..katikakati yake ulikuwa na gap kubwa lililompa advantage ya kuculculate complex mathematics.

Hawapendagi mademu hawa but that's how their Brain is programmed.
 
Kwa kweli umenigusa maana mimi tokea niko primary nilikuwa nafaulu sana kwenye somo la uchoraji ila masomo yote nilikuwa nafeli sana hata kuongea point mbele ya kundi la wanafunzi wenzangu nilikuwa najichanganganya sana ila uchoraji ulinipa tuzo kwa kushika nafasi ya kwanza wilaya,mkoa na 3 kitaifa kwa kutumia mkono wangu wa kushoto.....
 
Unanikumbusha nikiwa primary pale Mwanza kwenye shule ya msingi Nyakabungo, nilisoma na jamaa anaitwa TIBASIMA..alikuwa sio mzuri sana kwenye masomon but uchoraji ulimpeleka hadi London na kumpa maisha mazuri na deal kubwa sana kuanzia DW, Twaweza, Hakielimu, Sahlingon e.t.c

He was intelligent and genius Kwenye kuchora na sio kingine na hadi Leo hii wale waliofaulu darasa la saba na kwenda Mwanza secondary (prestige school) kwa kipindi kile wakiamini wametusua ajabu hadi leo elimu yao haijawafanyia lolote kubwa.

Usifanye mistake wafrika wengi inayotufelisha, kujichunguza kitu tunachofanya vizuri na kukipalilia na kukilinda. Jikite kwenye uchoraji huko huko something magical may happen.

Kila la kheri mkuu!
 
Mtu yeyote mwenye uwezo wa kuchora, anakua na akili sana.
Pia kundi la Intelligents, wanapenda ni hatari kwa nkupiga kazi (sijui kwa wanawake, hapa narejea wanaume). Majinias wenyewe hawana muda na hayo mambo.
Nakubaliana wewe sawa na Masoud Kipanya huyo jamaa namuonaga ana akili sana hata akiwa kwenye kipindi PowerBreakfast hoja zake unaona jamaa ana akili sana.
 
Unanikumbusha nikiwa primary pale Mwanza kwenye shule ya msingi Nyakabungo, nilisoma na jamaa anaitwa TIBASIMA..alikuwa sio mzuri sana kwenye masomon but uchoraji ulimpeleka hadi London na kumpa maisha mazuri na deal kubwa sana kuanzia DW, Twaweza, Hakielimu, Sahlingon e.t.c

He was intelligent and genius Kwenye kuchora na sio kingine na hadi Leo hii wale waliofaulu darasa la saba na kwenda Mwanza secondary (prestige school) kwa kipindi kile wakiamini wametusua ajabu hadi leo elimu yao haijawafanyia lolote kubwa.

Usifanye mistake wafrika wengi inayotufelisha, kujichunguza kitu tunachofanya vizuri na kukipalilia na kukilinda. Jikite kwenye uchoraji huko huko something magical may happen.

Kila la kheri mkuu!
Mkuu umenikumbusha mbaali sana aisee huyu Marco Tibasima yuko wapi aise? Mkuu unaonekana na wewe ni mhenga!!
 
Mimi sio mhenga mkuu... Mimi ni janki tu wa late 20's..unajua tibasima hili jina wanalitumia ukoo mzima kuanzia senior hadi junior.. Sasa Mimi nilisoma na wale majunior ambao walikuwa wanajua zaidi kuliko kaka yao yule senior.

Vipi unawajua hawa jamaa?
 
Back
Top Bottom