Sababu kubwa ni kwamba wakinga wengi hupenda kujishughulisha na maduka, kuna biashara nyingi sana lakini mkinga kachagua maduka.
Madukani wakinga huwa wanashinda na wake zao, hakuna mke wa kubaki nyumbani, ni team work asubuhi kunapokucha hadi jua linapozama.
Mke huwezi kumzuia kuchepuka ila kuna kiasi chake, kuna ndoa nyingine mke na mume wanakuwa pamoja usiku na weekends tu, siku zote zilizobaki hawapo pamoja asubuhi mpaka usiku. aina ya hizi ndoa unaweza usijue mke wako kasafiri Dar kwenda Mwanza kwa Ndege na karudi siku hio hio, unaweza usijue kabisa mkeo huko anakofanya kazi ana mume wa pili hasa bosi,
Ni tofauti na mkishinda pamoja siku nzima, mpo bizi muda mwingi kukagua mzigo, kuuza na kufunga hesabu , Mume na mke wanakuwa na wakati wa pamoja muda mwingi hivyo mahusiano ya nje yanapungua,
kwa huu mtindo wa kushinda wote pamoja siku nzima ni ngumu kusikia ndoa imevunjika au fumanizi