Jidanganye utakuwa nae mda woteSababu kubwa ni kwamba wakinga wengi hupenda kujishughulisha na maduka, kuna biashara nyingi sana lakini mkinga kachagua maduka.
Madukani wakinga huwa wanashinda na wake zao, hakuna mke wa kubaki nyumbani, ni team work asubuhi kunapokucha hadi jua linapozama.
kwa huu mtindo wa kushinda wote pamoja siku nzima ni ngumu kusikia ndoa imevunjika au fumanizi
Kuna kiasi chake, huwezi kulinganisha na mke ambae hamuonani asubuhi mpaka usiku, kuna mambo mengi zaidi anaweza kufanya bila wewe kujua,Mke akiamua kukusaliti analiwa hata nyuma ya nyumba.
Mke akiamua kukusaliti analiwa hata nyuma ya stoo lakini lazima tukiri kuna utofauti mkubwa wa kushinda na mke karibia siku nzima na kumuacha mke asubuhi unarudi usiku.Jidanganye utakuwa nae mda wote
Sure, na sio kwa mke tu hata kwa mwanaume,Hii ni kweli inapunguza usaliti kwa asilimia kubwa
Sio kweli wahuni wakikuamulia analiwa vizuri tuHii ni kweli inapunguza usaliti kwa asilimia kubwa
Wakikuamulia mkeo anapigwa mashine tu sana ila basi emu acheni kujisifu ujinga, katika menu list yangu mkinga yupo, haya malizia hio biaMke akiamua kukusaliti analiwa hata nyuma ya stoo lakini lazima tukiri kuna utofauti mkubwa wa kushinda na mke karibia siku nzima na kumuacha mke asubuhi unarudi usiku.
Ukishinda na mke unalimit watu
unaweza usijue mke wako kasafiri Dar kwenda Mwanza kwa Ndege na karudi siku hio hio,
Toleo ufafanuzi hapa maana umetuacha kwenye ombweUkitaka kumuudhi mwanamke wa kikinga au mpangwa, asikie kuwa una mwanamke nje au unataka kuoa mke mwingine.
Elewa neno inapunguzaJidanganye utakuwa nae mda wote
Kupunguza nini wewe? Njoo tunywe bia hukuElewa neno inapunguza
Kumbe lile unaloingiza kidole cha katikati sio shimo la peke yako ni shimo la wengi na wengineo au sio hivyo? Unatumia bia gani vile mkuu?Shimo la peke Yako ni lile la Futi sita chini basi.
Hapa umeficha white mkuu mboni umekula ganzi? Au ndio ushalewa tayari umezima?Ukitaka kumuudhi mwanamke wa kikinga au mpangwa, asikie kuwa una mwanamke nje au unataka kuoa mke mwingine.