Hii ndio sababu ni ngumu kukuta ndoa ya mkinga imevunjika au kusikia mafumanizi

Nikioa nitafungua duka..
 
Kafanye tena tafiti mkuu, wanachepuka sana na tena wanapenda sana quick service ile bongoa tumaliza chap chap.
 
Ni kwa sababu wewe ni mtu wa tabia za mwilini. Mwili hutamani kisha hukinai. Ni mpaka uwe mtu wa rohoni kwa Kumpokea Kristo Yesu ndipo uweze kutulia na mmoja(Mke) pasipo kumkinai milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ