Hii Ndio Sababu Wamiliki Wa Kampuni Hujikuta na Madeni ya Kodi

Hii Ndio Sababu Wamiliki Wa Kampuni Hujikuta na Madeni ya Kodi

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Umeshawahi kujiuliza kwanini asilimia kubwa ya watu waliosajili Kampuni Hujikuta na madeni makubwa ya malimbikizo ya Kodi?

Kwa takwimu zilizotolewa 51.58 ya wamiliki wote wa Kampuni Wana madeni makubwa yanayotokana na malimbikizo ya Kodi.

Na hii inasababishwa na mambo mawili;
1. Kutoku file taxes kwa Wakati
2. Kutoku file taxes Kabisa

Watu wengi niliowafanyia consultation niligundua wanakitu kimoja common "Hawajui kama unatakiwa ku file taxes kila Mwezi"

Na hii inatokana na sababu kubwa Moja Tuu

"Hawana Mtu wa Kuwasaidia Ku file taxes na kuwakumbusha ku file Taxes kila Mwezi"

Ndio maana nimekuandalia consultation ya BURE kama una miliki Kampuni au biashara itakayo kusaidia kujua ni Kodi zipi unatakiwa ku file, na lini.

Kama unahitaji consultation hii ya BURE nitumie meseji WhatsApp kupitia namba hizi

0678131068

Hey, Naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kufanya compliances za biashara zao kwa mwaka mzima.

Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu taxes nitumie meseji WhatsApp kupitia namba hizi

0678131068

Your Favorite lawyer.
 
Back
Top Bottom