Acha uongo Lucylight ACSSE hakua TO katazame upya data zako.Lucylight Mallya aliyekuwa TO IV na VI akitokea Marian ni muajuriwa wa Microsoft Marekani
ok! fine .. .lakini alikuwa kwenye Top fiveAcha uongo Lucylight ACSSE hakua TO katazame upya data zako.
Hii TO ndio Tanzania one?Lucylight Mallya aliyekuwa TO IV na VI akitokea Marian ni muajuriwa wa Microsoft Marekani
Kwani University ni nini? Si ndio hiyo universal au?Tuwe wakweli sio private wala government ,chuo kuna watu wanasumbua yaani hatumii akili zao ndio maana wananenepa tu....Yaani unakuta mtu haoni aibu kuomba assignments za kucopy ili apaste abadili cover page tu...
Hii ishu inasumbua sana kipind hicho usiku unakuta meseji mtu anataka assignment basi unampa hints mbili tatu ,anakuambia nataka kuona wewe umefanyaje ukimuonyesha basi anacopy tu.😅
ukiangalia historia yake katokea shule nzuri tu na kufaulu mkubwa kabisa.
Safi sanaYes, level zote nimesoma kayumba.
Kwani watu wanasoma universal?Kwani University ni nini? Si ndio hiyo universal au?
Na wewe unaona ni sawa wakija huko wakafeli?Kufaulu kwao kunashangaza wengi na wala hawanunui mitihan bali wanafanyiwa michujo mkali sana, yani ile ininterview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ambao ni vipanga wote ila wanahitajika 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga na bado kuna michujo mikali ya maksi za juu sana, inaendelea wakianza shule, hadi mtoto aweze kufuzu kufanya mtihani wa kidato cha nne kapambana sana.
mfumo wao wa usomaji ni tofauti, mfumo wao unamlazimu wanafunzi kujua namba ya kujibu mitihani muda mwingi tangu akiamka hadi kwenda kulala, mazingira yao ni mazuri ila ni kwajili ya kujua mtindo wa kujibu maswali sio kula upepo ama kuotea jua ama michezo, testi kibao za kuzoesha wanafunzi kuweza kujibu mtihani, nadhani hata ukifeli likizo unaweza ukabaki shule ili upigwe brashi kujifunza mtiririko mzuri wa kujibu maswali ya necta, usipofikisha wasatani wa shule umekwenda, bonasi na zawadi nono pindi matokeo yakitangazwa zinawapa walimu presha kubwa kuhakikisha wanakomaa na wanafunzi wao mpaka kieleweke .
Mpaka kufikia form 4 kwenye mwezi wa sita ule kila mwanafunzi anakuwa kama kasuku, yaani kuanzia definition, factors,advantages, feautures, n.k. wanaweza kuzijibu kama mashine ya kutoa kopi, past papers wanakuwa wameshasolve zimekuwa kama kiitikio cha muziki hakuna swali jipya mbele yao, wanachosubiri hapo huwa ni kulishangaza taifa kwa msururu wa division 1 za single digit.
Tatizo linaanza hao wanafunzi wakienda shule nyingine advance ama chuoni ukikutana nao wanarelax kwasababu hawakutani tena na heka heka za kubanwa ama mazingira ya kulazimishwa kusoma kama mwanzo.
Wanakuwa na uhuru kwa mara ya kwanza baada ya msoto mkali ndio mana wanaanza kufel, hawajazoea uhuru tofaut na wanafunzi wengine waliotoka shule za kawaida wakiwa na uhuru na bado wakatoboa, kwao uhuru ni kitu cha kawaida tofaut na wale wa saint francis ambao walikuwa wanatumia muda mwingi kusoma
Kufaulu kwao kunashangaza wengi na wala hawanunui mitihan bali wanafanyiwa michujo mkali sana, yani ile ininterview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ambao ni vipanga wote ila wanahitajika 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga na bado kuna michujo mikali ya maksi za juu sana, inaendelea wakianza shule, hadi mtoto aweze kufuzu kufanya mtihani wa kidato cha nne kapambana sana.
mfumo wao wa usomaji ni tofauti, mfumo wao unamlazimu wanafunzi kujua namba ya kujibu mitihani muda mwingi tangu akiamka hadi kwenda kulala, mazingira yao ni mazuri ila ni kwajili ya kujua mtindo wa kujibu maswali sio kula upepo ama kuotea jua ama michezo, testi kibao za kuzoesha wanafunzi kuweza kujibu mtihani, nadhani hata ukifeli likizo unaweza ukabaki shule ili upigwe brashi kujifunza mtiririko mzuri wa kujibu maswali ya necta, usipofikisha wasatani wa shule umekwenda, bonasi na zawadi nono pindi matokeo yakitangazwa zinawapa walimu presha kubwa kuhakikisha wanakomaa na wanafunzi wao mpaka kieleweke .
Mpaka kufikia form 4 kwenye mwezi wa sita ule kila mwanafunzi anakuwa kama kasuku, yaani kuanzia definition, factors,advantages, feautures, n.k. wanaweza kuzijibu kama mashine ya kutoa kopi, past papers wanakuwa wameshasolve zimekuwa kama kiitikio cha muziki hakuna swali jipya mbele yao, wanachosubiri hapo huwa ni kulishangaza taifa kwa msururu wa division 1 za single digit.
Tatizo linaanza hao wanafunzi wakienda shule nyingine advance ama chuoni ukikutana nao wanarelax kwasababu hawakutani tena na heka heka za kubanwa ama mazingira ya kulazimishwa kusoma kama mwanzo.
Wanakuwa na uhuru kwa mara ya kwanza baada ya msoto mkali ndio mana wanaanza kufel, hawajazoea uhuru tofaut na wanafunzi wengine waliotoka shule za kawaida wakiwa na uhuru na bado wakatoboa, kwao uhuru ni kitu cha kawaida tofaut na wale wa saint francis ambao walikuwa wanatumia muda mwingi kusoma
Acha UONGO hakuna mindset ya HIVYO ingekua ni mindset wanafunzi wote wangekua wanatoka na division 1 form 4 na form 6 hata chuo wangekua wanabutua GPA za 5.0 darasa zima Si mindset au haujui mindset ni nini? Kingereza kigumuKufaulu kunaanzia katika mindset ikiwa ukiwa form five na ukaweka katika Akili yako kuwa utapata one ya 3 hilo jambo lazima litatokea .
Sasa Urainbow umeukutia wapiYes, level zote nimesoma kayumba.
Kweli uliishia la 7, na usingeweza kuendelea huko mbele. Soma vizuri ulichoandikaBora mimi niliishia la 7
Nilifaulu masomo yote kasoro manne those days masomo yalikua 5
Shida miaka Ile shule zilkua chache
Imagine nmepata D ya maarifa ya nyumbani ningesoma miaka hii ningekua dokta hata wa nguruwe
Hakuwa TO kotekote .kitaifa advance nafikiri alikua 3 Bora..ila sio TO..ila kwenye career kafanikiwaLucylight Mallya aliyekuwa TO IV na VI akitokea Marian ni muajuriwa wa Microsoft Marekani
La 7 yetu ya miaka Ile ni Form 6 yenuKweli uliishia la 7, na usingeweza kuendelea huko mbele. Soma vizuri ulichoandika
Kuna ukweli ndani yake ila sasa kama kipimo cha kufaulu ni divisions basi inabidi watumie njia yeyote ili wafaulu.Kufaulu kwao kunashangaza wengi na wala hawanunui mitihan bali wanafanyiwa michujo mkali sana, yani ile ininterview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ambao ni vipanga wote ila wanahitajika 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga na bado kuna michujo mikali ya maksi za juu sana, inaendelea wakianza shule, hadi mtoto aweze kufuzu kufanya mtihani wa kidato cha nne kapambana sana.
mfumo wao wa usomaji ni tofauti, mfumo wao unamlazimu wanafunzi kujua namba ya kujibu mitihani muda mwingi tangu akiamka hadi kwenda kulala, mazingira yao ni mazuri ila ni kwajili ya kujua mtindo wa kujibu maswali sio kula upepo ama kuotea jua ama michezo, testi kibao za kuzoesha wanafunzi kuweza kujibu mtihani, nadhani hata ukifeli likizo unaweza ukabaki shule ili upigwe brashi kujifunza mtiririko mzuri wa kujibu maswali ya necta, usipofikisha wasatani wa shule umekwenda, bonasi na zawadi nono pindi matokeo yakitangazwa zinawapa walimu presha kubwa kuhakikisha wanakomaa na wanafunzi wao mpaka kieleweke .
Mpaka kufikia form 4 kwenye mwezi wa sita ule kila mwanafunzi anakuwa kama kasuku, yaani kuanzia definition, factors,advantages, feautures, n.k. wanaweza kuzijibu kama mashine ya kutoa kopi, past papers wanakuwa wameshasolve zimekuwa kama kiitikio cha muziki hakuna swali jipya mbele yao, wanachosubiri hapo huwa ni kulishangaza taifa kwa msururu wa division 1 za single digit.
Tatizo linaanza hao wanafunzi wakienda shule nyingine advance ama chuoni ukikutana nao wanarelax kwasababu hawakutani tena na heka heka za kubanwa ama mazingira ya kulazimishwa kusoma kama mwanzo.
Wanakuwa na uhuru kwa mara ya kwanza baada ya msoto mkali ndio mana wanaanza kufel, hawajazoea uhuru tofaut na wanafunzi wengine waliotoka shule za kawaida wakiwa na uhuru na bado wakatoboa, kwao uhuru ni kitu cha kawaida tofaut na wale wa saint francis ambao walikuwa wanatumia muda mwingi kusoma
Sure rafiki. They're just trying to console each other.Nyie sio wafatiliaji…….vipanga wengi waliotoka hizo shule wako vzuri sana. Mnatiana moyo muonekane mko level sawa
✊Hii TO ndio Tanzania one?
Siyo kweli,La 7 yetu ya miaka Ile ni Form 6 yenu