Hii ndio sababu ya baadhi ya wanafunzi wa Saint Francis na shule za seminari kupungua uwezo darasani wakienda shule nyingine form 5 ama chuo

Mleta mada ili kuthibitisha ulichoeleza unaweza kutuwekea takwimu hata za hiyo shule moja tu ya St. Francis na kwa miaka mitatu tu mfululizo kuonyesha idadi ya walioingia vyuoni na mwisho wa siku kushindwa ku-perform kama wenzao waliotoka shule za serikali? Ukishindwa kuweka takwimu mada yako itabaki kuwa porojo tu maana kati ya idadi yao kubwa wanaoingia vyuo ikitokea miongoni mwao wanachuo wawili watatu wakashindwa kuendana na kasi mpya haimaanishi kwamba wote wameshindwa kwenda na kasi za vyuoni.
 
Tuwe wakweli sio private wala government ,chuo kuna watu wanasumbua yaani hatumii akili zao ndio maana wananenepa tu....Yaani unakuta mtu haoni aibu kuomba assignments za kucopy ili apaste abadili cover page tu...

Hii ishu inasumbua sana kipind hicho usiku unakuta meseji mtu anataka assignment basi unampa hints mbili tatu ,anakuambia nataka kuona wewe umefanyaje ukimuonyesha basi anacopy tu.😅
ukiangalia historia yake katokea shule nzuri tu na kufaulu mkubwa kabisa.
 
Kwani University ni nini? Si ndio hiyo universal au?
 
Kufaulu kwao kunashangaza wengi na wala hawanunui mitihan bali wanafanyiwa michujo mkali sana, yani ile ininterview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ambao ni vipanga wote ila wanahitajika 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga na bado kuna michujo mikali ya maksi za juu sana, inaendelea wakianza shule, hadi mtoto aweze kufuzu kufanya mtihani wa kidato cha nne kapambana sana.

mfumo wao wa usomaji ni tofauti, mfumo wao unamlazimu wanafunzi kujua namba ya kujibu mitihani muda mwingi tangu akiamka hadi kwenda kulala, mazingira yao ni mazuri ila ni kwajili ya kujua mtindo wa kujibu maswali sio kula upepo ama kuotea jua ama michezo, testi kibao za kuzoesha wanafunzi kuweza kujibu mtihani, nadhani hata ukifeli likizo unaweza ukabaki shule ili upigwe brashi kujifunza mtiririko mzuri wa kujibu maswali ya necta, usipofikisha wasatani wa shule umekwenda, bonasi na zawadi nono pindi matokeo yakitangazwa zinawapa walimu presha kubwa kuhakikisha wanakomaa na wanafunzi wao mpaka kieleweke .

Mpaka kufikia form 4 kwenye mwezi wa sita ule kila mwanafunzi anakuwa kama kasuku, yaani kuanzia definition, factors,advantages, feautures, n.k. wanaweza kuzijibu kama mashine ya kutoa kopi, past papers wanakuwa wameshasolve zimekuwa kama kiitikio cha muziki hakuna swali jipya mbele yao, wanachosubiri hapo huwa ni kulishangaza taifa kwa msururu wa division 1 za single digit.

Tatizo linaanza hao wanafunzi wakienda shule nyingine advance ama chuoni ukikutana nao wanarelax kwasababu hawakutani tena na heka heka za kubanwa ama mazingira ya kulazimishwa kusoma kama mwanzo.

Wanakuwa na uhuru kwa mara ya kwanza baada ya msoto mkali ndio mana wanaanza kufel, hawajazoea uhuru tofaut na wanafunzi wengine waliotoka shule za kawaida wakiwa na uhuru na bado wakatoboa, kwao uhuru ni kitu cha kawaida tofaut na wale wa saint francis ambao walikuwa wanatumia muda mwingi kusoma
Na wewe unaona ni sawa wakija huko wakafeli?

Wewe unaona ni sawa mazingira mazuri ya watoto kuharibiwa wakija huko halafu wanafeli wewe unaona ni sifa?

Wewe unaona na kudhani mazingira ya hovyo ya shule za kayumba ndio bora kwa watoto?

Kama ni hivi ukija kua Waziri wa Elimu utataka shule zote ziwe kama kayumba ndio utafurahi...
 
Kufaulu kwao kunashangaza wengi na wala hawanunui mitihan bali wanafanyiwa michujo mkali sana, yani ile ininterview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ambao ni vipanga wote ila wanahitajika 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga na bado kuna michujo mikali ya maksi za juu sana, inaendelea wakianza shule, hadi mtoto aweze kufuzu kufanya mtihani wa kidato cha nne kapambana sana.

mfumo wao wa usomaji ni tofauti, mfumo wao unamlazimu wanafunzi kujua namba ya kujibu mitihani muda mwingi tangu akiamka hadi kwenda kulala, mazingira yao ni mazuri ila ni kwajili ya kujua mtindo wa kujibu maswali sio kula upepo ama kuotea jua ama michezo, testi kibao za kuzoesha wanafunzi kuweza kujibu mtihani, nadhani hata ukifeli likizo unaweza ukabaki shule ili upigwe brashi kujifunza mtiririko mzuri wa kujibu maswali ya necta, usipofikisha wasatani wa shule umekwenda, bonasi na zawadi nono pindi matokeo yakitangazwa zinawapa walimu presha kubwa kuhakikisha wanakomaa na wanafunzi wao mpaka kieleweke .

Mpaka kufikia form 4 kwenye mwezi wa sita ule kila mwanafunzi anakuwa kama kasuku, yaani kuanzia definition, factors,advantages, feautures, n.k. wanaweza kuzijibu kama mashine ya kutoa kopi, past papers wanakuwa wameshasolve zimekuwa kama kiitikio cha muziki hakuna swali jipya mbele yao, wanachosubiri hapo huwa ni kulishangaza taifa kwa msururu wa division 1 za single digit.

Tatizo linaanza hao wanafunzi wakienda shule nyingine advance ama chuoni ukikutana nao wanarelax kwasababu hawakutani tena na heka heka za kubanwa ama mazingira ya kulazimishwa kusoma kama mwanzo.

Wanakuwa na uhuru kwa mara ya kwanza baada ya msoto mkali ndio mana wanaanza kufel, hawajazoea uhuru tofaut na wanafunzi wengine waliotoka shule za kawaida wakiwa na uhuru na bado wakatoboa, kwao uhuru ni kitu cha kawaida tofaut na wale wa saint francis ambao walikuwa wanatumia muda mwingi kusoma

Bro utaumia tu, mtoto akiandaliwa vizuri atafanya vizuri. Sio siri wale wanafunzi wanaokwenda kusoma St. Francis ni cream, na mwisho wa siku wanakokwenda tunategemea watafanya vizuri. Lakini ufaulu huendana na mazingira. Uongozi, walimu, nidhamu, n.k. Baadhi ya wanafunzi toka St. Francis nasikia hupata shida wakienda shule mpya, ambazo kuna wizi, kwani pale kwao kuiba ni kosa kubwa sana. Sasa inategemea mtoto ata adapt vipi. Kuna group za Alumni wa St. Francis unaweza uliza wana watu gani.

Nadhani tusisahau, lengo la St. Francis ni kumfaulisha huyo mwanafunzi kwa level wanayoishia shule yao, ambayo ni form IV. Hayo ya mbeleni ingawa umeandaliwa vizuri utajua mwenyewe. Na ufaulu ni hatua. Kuna ufaulu wa darasa la IV, VII, form II, form IV, form VI na chuo. Sasa kutaka mtu aliyesoma St. Francis na kupata division 2 point 7, akienda UDSM apate first class ni kuwaonea St. Francis. Hiyo haiwahusu.

Lakini kama mwanafunzi alikuwa kichwa sekondari halafu chuo hawi vizuri, basi wanachosoma sekondari yamkini hakiwasaidii kuwaandaa kwenda chuo. Hapo patakuwa na upungufu.
 
Kufaulu kunaanzia katika mindset ikiwa ukiwa form five na ukaweka katika Akili yako kuwa utapata one ya 3 hilo jambo lazima litatokea .
Acha UONGO hakuna mindset ya HIVYO ingekua ni mindset wanafunzi wote wangekua wanatoka na division 1 form 4 na form 6 hata chuo wangekua wanabutua GPA za 5.0 darasa zima Si mindset au haujui mindset ni nini? Kingereza kigumu
 
Bora mimi niliishia la 7
Nilifaulu masomo yote kasoro manne those days masomo yalikua 5
Shida miaka Ile shule zilkua chache
Imagine nmepata D ya maarifa ya nyumbani ningesoma miaka hii ningekua dokta hata wa nguruwe
Kweli uliishia la 7, na usingeweza kuendelea huko mbele. Soma vizuri ulichoandika
 
Kufaulu kwao kunashangaza wengi na wala hawanunui mitihan bali wanafanyiwa michujo mkali sana, yani ile ininterview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ambao ni vipanga wote ila wanahitajika 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga na bado kuna michujo mikali ya maksi za juu sana, inaendelea wakianza shule, hadi mtoto aweze kufuzu kufanya mtihani wa kidato cha nne kapambana sana.

mfumo wao wa usomaji ni tofauti, mfumo wao unamlazimu wanafunzi kujua namba ya kujibu mitihani muda mwingi tangu akiamka hadi kwenda kulala, mazingira yao ni mazuri ila ni kwajili ya kujua mtindo wa kujibu maswali sio kula upepo ama kuotea jua ama michezo, testi kibao za kuzoesha wanafunzi kuweza kujibu mtihani, nadhani hata ukifeli likizo unaweza ukabaki shule ili upigwe brashi kujifunza mtiririko mzuri wa kujibu maswali ya necta, usipofikisha wasatani wa shule umekwenda, bonasi na zawadi nono pindi matokeo yakitangazwa zinawapa walimu presha kubwa kuhakikisha wanakomaa na wanafunzi wao mpaka kieleweke .

Mpaka kufikia form 4 kwenye mwezi wa sita ule kila mwanafunzi anakuwa kama kasuku, yaani kuanzia definition, factors,advantages, feautures, n.k. wanaweza kuzijibu kama mashine ya kutoa kopi, past papers wanakuwa wameshasolve zimekuwa kama kiitikio cha muziki hakuna swali jipya mbele yao, wanachosubiri hapo huwa ni kulishangaza taifa kwa msururu wa division 1 za single digit.

Tatizo linaanza hao wanafunzi wakienda shule nyingine advance ama chuoni ukikutana nao wanarelax kwasababu hawakutani tena na heka heka za kubanwa ama mazingira ya kulazimishwa kusoma kama mwanzo.

Wanakuwa na uhuru kwa mara ya kwanza baada ya msoto mkali ndio mana wanaanza kufel, hawajazoea uhuru tofaut na wanafunzi wengine waliotoka shule za kawaida wakiwa na uhuru na bado wakatoboa, kwao uhuru ni kitu cha kawaida tofaut na wale wa saint francis ambao walikuwa wanatumia muda mwingi kusoma
Kuna ukweli ndani yake ila sasa kama kipimo cha kufaulu ni divisions basi inabidi watumie njia yeyote ili wafaulu.

Ila kitu kibaya ambacho tumeshanza kukiiona ni elimu yetu kuzalisha kizazi cha ukasuku. Jinsi hawa vijana wanavyokuzwa mashuleni, hawakuzwi kama wanafunzi wanaojifunza kufikiri, kudadavua, kuuliza mambo, kuchambua, kubuni, kuongeza ujuzi mpana n.k. Hawa wanafunzi mazingira yao ya kujifunza ni kama experimental study environment, yale mazingira na ufundishaji hayahakisi mazingira halisi wanayoishi na watakayoishi. Kwa wale wasomi wa study methodologies watakubaliana na mimi kwamba "any findings from experimental studies can not and will never be generalized/infered to the general population" ;kwa nini nasema hivyo? kwa sababu mazingira yao yamekuwa modified kuleta hayo matokeo unayoyaona, kumbuka maisha yetu tunaishi kwenye real environment, hakuna modification huku. Hiyo ndio sababu wakiingia form5-6 katika shule za serikali,au wakiingia vyuo vikuu , wakipata kazi, performance zao zinashindwa kureflect divisions za juu na kutisha za single digit walizopata.

Kweli kabisa darasa lote la wanafunzi 93 wapate division one tena za point saba bila kualter mazingira na ufundishaji wao haiwezekani. Wataalamu wa statastics na binomial distribution watakubaliana na mimi, with differences in families, genes, primary school background, inteligences etc haiwezekani wote wawe within the signle line within the median, yaani kama median ni ranges ya 7-15 basi wote waangukie kwenye single line ya 7 bila kuwa na normal distribution between 7-15. Tena hakuna hata outlier mmoja. Ile shule eti outlier wake alipata division one ya point 10 maana yake sio outlier huyu kwani bado yuko within the median range na ni mmoja kati ya 93, waliobaki wote ni one ya 7.Kuna kitu cha kujifunza hapa.
 
Back
Top Bottom