RO7 ZA MGOS JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 2,018 Reaction score 5,752 Jan 29, 2024 #41 Kalpana said: Hiyo shule ni kutudhalilishia tuu watoto wetu..wakikosa intavyuu waonekane hawana akili.. Ila yote fainali chuoni...tunakutana vyuoni hakuna cha wa Feza au st francis au Kayumba yani hapo tunaaanza upyaaaaaa Click to expand... Mwalimu wangu ...wa advance amewahi kusema kauli hii...WATOTO WA MASKIN NA MATAJIRI SEHEM YA KUKUTANA N CHUO KIKUU TUU!!...
Kalpana said: Hiyo shule ni kutudhalilishia tuu watoto wetu..wakikosa intavyuu waonekane hawana akili.. Ila yote fainali chuoni...tunakutana vyuoni hakuna cha wa Feza au st francis au Kayumba yani hapo tunaaanza upyaaaaaa Click to expand... Mwalimu wangu ...wa advance amewahi kusema kauli hii...WATOTO WA MASKIN NA MATAJIRI SEHEM YA KUKUTANA N CHUO KIKUU TUU!!...
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Jan 29, 2024 #42 RO7 ZA MGOS said: Mwalimu wangu ...wa advance amewahi kusema kauli hii...WATOTO WA MASKIN NA MATAJIRI SEHEM YA KUKUTANA N CHUO KIKUU TUU!!... Click to expand... Kabisa..
RO7 ZA MGOS said: Mwalimu wangu ...wa advance amewahi kusema kauli hii...WATOTO WA MASKIN NA MATAJIRI SEHEM YA KUKUTANA N CHUO KIKUU TUU!!... Click to expand... Kabisa..