RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,018
- 5,752
Mwalimu wangu ...wa advance amewahi kusema kauli hii...WATOTO WA MASKIN NA MATAJIRI SEHEM YA KUKUTANA N CHUO KIKUU TUU!!...Hiyo shule ni kutudhalilishia tuu watoto wetu..wakikosa intavyuu waonekane hawana akili..
Ila yote fainali chuoni...tunakutana vyuoni hakuna cha wa Feza au st francis au Kayumba yani hapo tunaaanza upyaaaaaa