Tetesi: Hii ndio sababu ya kiroho kwanini watu wanaookota chupa za plastiki wengi huwa wanaishia kuwa wendawazimu

Come.to think of it.

Asilimia kubwa ya watu wanao jiingiza katika ujasiriamali WA kukusanya makopo na chupa za plastiki na kisha kwenda kuziuza viwandani huwa wanaishia kuwa wehu kabisa na kuanza kuokota makopo Ile ya kiuwehu wehu kabisa.

Binafsi nimewashuhudia watu wengi Tu ambao walijiingiza kwenye ujasiriamali huu na sasa hivi wamekuwa wendawazimu kabisa.

Mpaka ilifika kipindi nikaanza kuamini kuwa huenda hawa watu wakawa wanarogezewa Uchawi na wanapo Anza KAZI ya kuokota makopo basi Uchawi ndo unakuwa umewaingia na mwisho wa siku huo Uchawi Una graduate na mhusika kuwehuka kabisa.

Sababu za kiroho kwanini watu hawa huishia kuwa wehu?

Kwa sababu wanakanyaga majalalani na kuchukua vitu vya majalalani mara nyingi Sana Kwa siku.

Kwa wastani muokota makopo anaweza kutembelea kwenye majalala 70 mpaka 100 Kwa siku ambako mbali na kukanyaga kwenye majalala hayo huchukua vitu vilivyo tupwa kwenye majalala hayo.

Majalala NI makaazi ya MAJINI WA kisheitwani ambao mbali na kusababishia matatizo mengine kama.vile nuksi nakadhalika lakini Pia ndio MAJINI wanao husika na kuwasababishia watu maradhi ya uwendazimu.

Nadhani ndio maana uchafu huwa unahusishwa na uwendawazimu.

So hawa jamaa hukumbana na MAJINI WA jalalani ambao huwaingia na kuwafanya kuwa wendawazimu.

Katika.ulimwengu WA Wachawi, majalala.ni.madhabahu yenye nguvu kubwa Sana Kwa habari ya kuwasababishia watu maradhi ya uwendazimu au kuwashusha nyota watu maana MTU aliye tiwa maradhi ya uwendazimu huyo.nyota yake.imeshushwa. Hawezi kuheshimika.wala.kuaminiwa na yoyote. Kama NI mfanyabiashara basi.biashara ndio imekufa hivyo.
TEMA MATE CHINI KAKAA
NIMEAJIRI WATY WANNE NA NAWALIPA KWA WIKI KUPIMA LAZIM NIWEPO ASIKWAMBIE MTU UKICHAA UTABAKIA MTAANI KWENU
MAJUZI NIMEONGEZA NA WA CHUM KABISA
 
HESHIMU kazi za watu PESA nayopata MWISHO WA mwezi NAWEZA lisha KWENU na baba mkubwa na wanae
 
Hapo kukumbusha tu nikokazini KWINGINE na bado NAPAMBANA na maplastick na VYUMBA chakavuuuu nitume niletewatu mkuu
Alhamisi na IJUMAA na JMOSI natembea na kirikuu maukumbini na VIJANA wangu na wakimaliza wanaingia kumbi moja moja KUTOKA mzigoo eg JMOSI nakodisha canter KUBWA kabisa pande za SINZA
 
Come.to think of it.

Asilimia kubwa ya watu wanao jiingiza katika ujasiriamali WA kukusanya makopo na chupa za plastiki na kisha kwenda kuziuza viwandani huwa wanaishia kuwa wehu kabisa na kuanza kuokota makopo Ile ya kiuwehu wehu kabisa.

Binafsi nimewashuhudia watu wengi Tu ambao walijiingiza kwenye ujasiriamali huu na sasa hivi wamekuwa wendawazimu kabisa.

Mpaka ilifika kipindi nikaanza kuamini kuwa huenda hawa watu wakawa wanarogezewa Uchawi na wanapo Anza KAZI ya kuokota makopo basi Uchawi ndo unakuwa umewaingia na mwisho wa siku huo Uchawi Una graduate na mhusika kuwehuka kabisa.

Sababu za kiroho kwanini watu hawa huishia kuwa wehu?

Kwa sababu wanakanyaga majalalani na kuchukua vitu vya majalalani mara nyingi Sana Kwa siku.

Kwa wastani muokota makopo anaweza kutembelea kwenye majalala 70 mpaka 100 Kwa siku ambako mbali na kukanyaga kwenye majalala hayo huchukua vitu vilivyo tupwa kwenye majalala hayo.

Majalala NI makaazi ya MAJINI WA kisheitwani ambao mbali na kusababishia matatizo mengine kama.vile nuksi nakadhalika lakini Pia ndio MAJINI wanao husika na kuwasababishia watu maradhi ya uwendazimu.

Nadhani ndio maana uchafu huwa unahusishwa na uwendawazimu.

So hawa jamaa hukumbana na MAJINI WA jalalani ambao huwaingia na kuwafanya kuwa wendawazimu.

Katika.ulimwengu WA Wachawi, majalala.ni.madhabahu yenye nguvu kubwa Sana Kwa habari ya kuwasababishia watu maradhi ya uwendazimu au kuwashusha nyota watu maana MTU aliye tiwa maradhi ya uwendazimu huyo.nyota yake.imeshushwa. Hawezi kuheshimika.wala.kuaminiwa na yoyote. Kama NI mfanyabiashara basi.biashara ndio imekufa hivyo.
Roho ni nini na unaweza kuthibitisha kwamba ipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unaji quote mwenyewe mkuu au uwendawazimu ndo unaanza kukunyemelea taratibu?
Ha ha huyo jamaa hua haeleweki mkuu, asubuhi ya leo kuna uzi ulikua unazungumzia mitungi ya gas ya kupikia majumbani aisee nilikua nacheka kila naposoma comment zake. Mwandiko wake hua unabadilika kulingana na muda ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho ni nini na unaweza kuthibitisha kwamba ipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
The same old question. Nikikujibu roho ni nini utaniomba reference Nami nitakwambia nimeitoa kwenye kamusi then utaniuliza " kamusi " nini? So it will be like a child play.

# Ur so predictable

# Ngoja nikae kimya
 
Back
Top Bottom