LGE2024 Hii ndio Sababu ya Watendaji kukimbia Ofisi ili kuihujumu Chadema, Hata hivyo watashindwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kujitokeza kwa 100% kwa Wanachama wa Chadema kuchukua fomu za kugombea Uenyekiti wa serikali za Mitaa, Kumewaduwaza Viongozi wa CCM kiasi cha kuanza kupanga njama zile zile za kishamba zilizotumiwa na Dikteta Magufuli 2019 na kusababisha laana inayotafuna Nchi hadi leo.

Kwa mfano Mtiti huu wa Chadema Jimbo la Mbarali Haukutarajiwa na wengi, Kwa vile ilidhaniwa kwamba Utekaji na Mauaji waliyofanyiwa viongozi wa Chadema labda ungewaogopesha Wanachama wake kuchukua fomu

Screenshot_2024-10-31-09-50-21-1.png
Screenshot_2024-10-31-09-50-12-1.png
Screenshot_2024-10-31-09-49-57-1.png

Wanaccm Wengi kutokana na uchache wa Ubongo, vichwani mwao, hawakuelewa ile Kampeni ya Chadema ya Watake Wasitake, Kampeni ile ililenga kutahadharisha kwamba Chadema isingeweka mpira kwapani hata iweje, Yaani Afe beki au Afe kipa.

Screenshot_2024-10-25-11-46-09-1.png
 
Kujitokeza kwa 100% kwa Wanachama wa Chadema kuchukua fomu za kugombea Uenyekiti wa serikali za Mitaa, Kumewaduwaza Viongozi wa CCM kiasi cha kuanza kupanga njama zile zile za kishamba zilizotumiwa na Dikteta Magufuli 2019 na kusababisha laana inayotafuna Nchi hadi leo.

Kwa mfano Mtiti huu wa Chadema Jimbo la Mbarali Haukutarajiwa na wengi, Kwa vile ilidhaniwa kwamba Utekaji na Mauaji waliyofanyiwa viongozi wa Chadema labda ungewaogopesha Wanachama wake kuchukua fomu

View attachment 3139761View attachment 3139764View attachment 3139765

Wanaccm Wengi kutokana na uchache wa Ubongo, vichwani mwao, hawakuelewa ile Kampeni ya Chadema ya Watake Wasitake, Kampeni ile ililenga kutahadharisha kwamba Chadema isingeweka mpira kwapani hata iweje, Yaani Afe beki au Afe kipa.

View attachment 3139769
Watendaji wa serikali wanaoharibu process ya uchaguzi na wale wagombea ambao tuko nao mitaani na wanashiriki kuhujumu uchaguzi wa viongozi na kuiba kura wanatofauti gani na vibaka?

Kweli mtu mmoja au wawili watuharibie mfumo wa kupata viongozi wetu kihalali na kutuwekea mapimbi kwa miaka mitano mingine? Kibaka anayeiba kuku na huyu na anayetuletea shida miaka mitano nani mbaya zaidi?
 
Kujitokeza kwa 100% kwa Wanachama wa Chadema kuchukua fomu za kugombea Uenyekiti wa serikali za Mitaa, Kumewaduwaza Viongozi wa CCM kiasi cha kuanza kupanga njama zile zile za kishamba zilizotumiwa na Dikteta Magufuli 2019 na kusababisha laana inayotafuna Nchi hadi leo.

Kwa mfano Mtiti huu wa Chadema Jimbo la Mbarali Haukutarajiwa na wengi, Kwa vile ilidhaniwa kwamba Utekaji na Mauaji waliyofanyiwa viongozi wa Chadema labda ungewaogopesha Wanachama wake kuchukua fomu

View attachment 3139761View attachment 3139764View attachment 3139765

Wanaccm Wengi kutokana na uchache wa Ubongo, vichwani mwao, hawakuelewa ile Kampeni ya Chadema ya Watake Wasitake, Kampeni ile ililenga kutahadharisha kwamba Chadema isingeweka mpira kwapani hata iweje, Yaani Afe beki au Afe kipa.

View attachment 3139769
CCM imekatika kiwiliwili
 
Kuna uzi niliweka hapa ila naona mods wameupoteza. Lakini nilisema, Watendaji wa serikali wanaoharibu process ya uchaguzi na wale wagombea ambao tuko nao mitaani na wanashiriki kuhujumu uchaguzi wa viongozi na kuiba kura wanatofauti gani na vibaka?
Kweli mtu mmoja au wawili watuharibie mfumo wa kupata viongozi wetu kihalali na kutuwekea mapimbi kwa miaka mitano mingine?
Kibaka tukimchoka kwa kuiba kuku tuna mpiga na kumchoma moto, jee huyu na anayetuletea shida miaka mitano nani mbaya zaidi?
Ok, tusiwachome moto lakini tunashindwa kuwatembezea kipigo cha sawasawa kama mob justice?
Hivi kweli watendaji 50 tuu nchi hii wakiwa hospitalini wamevunjwa miguu na mikono kwa kuharibu mifumo ya uchaguzi kuna mwingine Ata risk maisha yake tena? Wanadharau kwa vile wanajua watu watawafanya nini!
WAPIGWE SASA MAANA NI VIBAKA KWENYE OFISI ZA UMMA HAO.
😆😆😆😆
 
Kujitokeza kwa 100% kwa Wanachama wa Chadema kuchukua fomu za kugombea Uenyekiti wa serikali za Mitaa, Kumewaduwaza Viongozi wa CCM kiasi cha kuanza kupanga njama zile zile za kishamba zilizotumiwa na Dikteta Magufuli 2019 na kusababisha laana inayotafuna Nchi hadi leo.

Kwa mfano Mtiti huu wa Chadema Jimbo la Mbarali Haukutarajiwa na wengi, Kwa vile ilidhaniwa kwamba Utekaji na Mauaji waliyofanyiwa viongozi wa Chadema labda ungewaogopesha Wanachama wake kuchukua fomu

View attachment 3139761View attachment 3139764View attachment 3139765

Wanaccm Wengi kutokana na uchache wa Ubongo, vichwani mwao, hawakuelewa ile Kampeni ya Chadema ya Watake Wasitake, Kampeni ile ililenga kutahadharisha kwamba Chadema isingeweka mpira kwapani hata iweje, Yaani Afe beki au Afe kipa.

View attachment 3139769
HIzo kura watapigiwa na nani nanyi hamkujiandikisha!
 
Back
Top Bottom