LGE2024 Hii ndio Sababu ya Watendaji kukimbia Ofisi ili kuihujumu Chadema, Hata hivyo watashindwa

LGE2024 Hii ndio Sababu ya Watendaji kukimbia Ofisi ili kuihujumu Chadema, Hata hivyo watashindwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni ukweli, aliwaita maafisa watendaji wa Kata zote Tanganyika ikulu akawapa seminar ya siku mbili yeye mwenyewe kuwafundisha mbinu za kuvururga uchaguzi ili viti vyote vichukuliwe na CCM katika ndoto yake ya kuufuta upinzaninchini, kama hili hulikumbuki basi ni athari ya pombe kali feki unazofakamia kama huna akili nzuri vile.
Sasa kama bado mnazidiwa na Mbinu za marehemu mtamuweza Mchengerwa kweli! 😂😂
 
Kujitokeza kwa 100% kwa Wanachama wa Chadema kuchukua fomu za kugombea Uenyekiti wa serikali za Mitaa, Kumewaduwaza Viongozi wa CCM kiasi cha kuanza kupanga njama zile zile za kishamba zilizotumiwa na Dikteta Magufuli 2019 na kusababisha laana inayotafuna Nchi hadi leo.

Kwa mfano Mtiti huu wa Chadema Jimbo la Mbarali Haukutarajiwa na wengi, Kwa vile ilidhaniwa kwamba Utekaji na Mauaji waliyofanyiwa viongozi wa Chadema labda ungewaogopesha Wanachama wake kuchukua fomu

View attachment 3139761View attachment 3139764View attachment 3139765

Wanaccm Wengi kutokana na uchache wa Ubongo, vichwani mwao, hawakuelewa ile Kampeni ya Chadema ya Watake Wasitake, Kampeni ile ililenga kutahadharisha kwamba Chadema isingeweka mpira kwapani hata iweje, Yaani Afe beki au Afe kipa.

View attachment 3139769
Uzuri chaema hakuna Darasa la Saba kugombea
 
Mie nimeshinda leo.Nitaleta tu idadi ya kula.CHADEMA
 
Magufuli kafa lakini mnaogopa kanuni zake hadi Leo sasa nyie ni Chama Cha Siasa au kikundi Cha Wahuni tu?! 😂😂😂

Mtafuteni Komredi Kinana aliahidi kuwasaidia
Tatizo mnatumia majeshi na silaha za kivita kupambana na Chadema, Chadema haipambani na CCM bali inapambana na Dola sasa kama hilo hulioni basi una shida.
 
Tatizo mnatumia majeshi na silaha za kivita kupambana na Chadema, Chadema haipambani na CCM bali inapambana na Dola sasa kama hilo hulioni basi huna akili.
Chadema IPI inayopambana na Dola?

Ni CUF pekee Ndio walijaribu Kupambana na Dola Siyo nyie mliozidiwa hadi na Nicole pale Magomeni mapipa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom