johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa kama bado mnazidiwa na Mbinu za marehemu mtamuweza Mchengerwa kweli! ππNi ukweli, aliwaita maafisa watendaji wa Kata zote Tanganyika ikulu akawapa seminar ya siku mbili yeye mwenyewe kuwafundisha mbinu za kuvururga uchaguzi ili viti vyote vichukuliwe na CCM katika ndoto yake ya kuufuta upinzaninchini, kama hili hulikumbuki basi ni athari ya pombe kali feki unazofakamia kama huna akili nzuri vile.
hujasikia watu tumejitokeza kwa wingi waziri katangaza tupo zaidi ya ml 31, Kwani wakati wakujiandikisha kulikuwa na daftari ya ccm na chademaHIzo kura watapigiwa na nani nanyi hamkujiandikisha!
πππCCM imekatika kiwiliwili
Akili ya visungura hiyo, huna tofauti na Lucas Mwashambwa.Sasa kama bado mnazidiwa na Mbinu za marehemu mtamuweza Mchengerwa kweli! ππ
Itafahamika tu malalamiko saccos siku ikifika!hujasikia watu tumejitokeza kwa wingi waziri katangaza tupo zaidi ya ml 31, Kwani wakati wakujiandikisha kulikuwa na daftari ya ccm na chadema
safari hii ukikimbia na sanduku la kura ni petroli na kupigwa njitiItafahamika tu malalamiko saccos siku ikifika!
Magufuli kafa lakini mnaogopa kanuni zake hadi Leo sasa nyie ni Chama Cha Siasa?! πππAkili ya visungura hiyo, huna tofauti na Lucas Mwashambwa.
π πsafari hii ukikimbia na sanduku la kura ni petroli na kupigwa njiti
Uzuri chaema hakuna Darasa la Saba kugombeaKujitokeza kwa 100% kwa Wanachama wa Chadema kuchukua fomu za kugombea Uenyekiti wa serikali za Mitaa, Kumewaduwaza Viongozi wa CCM kiasi cha kuanza kupanga njama zile zile za kishamba zilizotumiwa na Dikteta Magufuli 2019 na kusababisha laana inayotafuna Nchi hadi leo.
Kwa mfano Mtiti huu wa Chadema Jimbo la Mbarali Haukutarajiwa na wengi, Kwa vile ilidhaniwa kwamba Utekaji na Mauaji waliyofanyiwa viongozi wa Chadema labda ungewaogopesha Wanachama wake kuchukua fomu
View attachment 3139761View attachment 3139764View attachment 3139765
Wanaccm Wengi kutokana na uchache wa Ubongo, vichwani mwao, hawakuelewa ile Kampeni ya Chadema ya Watake Wasitake, Kampeni ile ililenga kutahadharisha kwamba Chadema isingeweka mpira kwapani hata iweje, Yaani Afe beki au Afe kipa.
View attachment 3139769
Sasa mshamba hapo ni Chadema? Au aliyeleta kanuni?Magufuli kafa lakini mnaogopa kanuni zake hadi Leo sasa nyie ni Chama Cha Siasa au kikundi Cha Wahuni tu?! πππ
Mtafuteni Komredi Kinana aliahidi kuwasaidia
Tatizo mnatumia majeshi na silaha za kivita kupambana na Chadema, Chadema haipambani na CCM bali inapambana na Dola sasa kama hilo hulioni basi una shida.Magufuli kafa lakini mnaogopa kanuni zake hadi Leo sasa nyie ni Chama Cha Siasa au kikundi Cha Wahuni tu?! πππ
Mtafuteni Komredi Kinana aliahidi kuwasaidia
Jehanam inamuhusu!πΉπΊπShetani ameruhusiwa na Mungu wa mbinguni kutimiza majukumu yake
Sidhani kama utaelewa ππ₯
Chadema IPI inayopambana na Dola?Tatizo mnatumia majeshi na silaha za kivita kupambana na Chadema, Chadema haipambani na CCM bali inapambana na Dola sasa kama hilo hulioni basi huna akili.
Pombe ikiisha kichwani tujadili hapo najua visungura vipo kichwani.Chadema IPI inayopambana na Dola?
Ni CUF pekee Ndio walijaribu Kupambana na Dola Siyo nyie mliozidiwa hadi na Nicole pale Magomeni mapipa πππ
Mtaani kwetu hatufanyi hata kampeni Viongozi aliotuachia Shujaa Magufuli 2019 bado Wanatosha tumewapa 5 Tena ππPombe ikiisha kichwani tujadili hapo najua visungura vipo kichwani.
Chezea double kick wewe na jua kali hili lazima uwehuke tuMtaani kwetu hatufanyi hata kampeni Viongozi aliotuachia Shujaa Magufuli 2019 bado Wanatosha tumewapa 5 Tena ππ
Naona Mbowe kajichimbia Machame Vijijini πChezea double kick wewe na jua kali hili lazima uwehuke tu
SijuiNaona Mbowe kajichimbia Machame Vijijini π
Ameagiza Huku Mjini mpambane msikubali kuonewa πSijui