LGE2024 Hii ndio Sababu ya Watendaji kukimbia Ofisi ili kuihujumu Chadema, Hata hivyo watashindwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
At least wewe unajua ukweli ingawa unajaribu kutafuta visingizio kijanja.
 
Maajabu ni kuwa wewe hata "visingizio" hutafuti, sasa hapo sijui tueleweje!
Nitafute visingizio wakati nina uhakika wa kushinda?.Visingizio huwa vinatafutwa na losers.
 
Mbona kipindi Cha slaa mlisema kikwete alishindwa na akaiba kura?. Leo hii unasema JPM ndo chanzo? Siasa siwezi kuielewa Hadi kesho na kesho.
Magufuli alichofanya 2019 na 2020 siyo wizi wa kura bali alivuruga uchaguzi kabisa alifnya ushenzi mkubwa mno
 
HIzo kura watapigiwa na nani nanyi hamkujiandikisha!
Aliyekuambia hawakujiandikisha amekudanganya. Huu uhuni wa kukimbia ofisi ni baada ya kupima na kujua kuwa kwa hali ilivyo njia pekee ya kujinasua ni kuwanyima wagombea wa Chadema haki ya kuchaguliwa.
 
Nitafute visingizio wakati nina uhakika wa kushinda?.Visingizio huwa vinatafutwa na losers.
Una "uhakika wa kushinda"; hicho ndio "kisingizio" kama hujui.

Unafanya ujambazi halafu unageuka na kujitangaza umeshinda! Ujambazi mahali popote una mwisho wake; huu wa kwenu kikomo chake kimewadia sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…