Hii ndio sheria itakayo waumbua Simba sc Fifa

Mpaka hapo tupo pamoja. Sasa vigezo ambavyo kamati y TFF ilivyotumia kupiga chini ule.uamuzi wa kamati ya saa 72 ambayo iliridhika kwamba kuna kadi tatu ndipo utata ulipo. Wao walisema rufaa au malalamiko ya simba hayakuwasilishwa kwa wakati, na pia hayakulipiwa ada. Swali langu bado linarudi palepale, kadi tatu zinahitaji rufaa na kulipiwa ada? Ili si linajulikana tu kwamba kama mchezaji ana kadi tatu za njano haruhusiwi kucheza mchezo unaofuata? Hata timu pinzani isipolalamika ile timu iliyofanya kosa inaadhibiwa na kanuni kama ilivyofanyika kwa Azam dhidi ya Mbeya City. Nadhani kuna kitu hakikuwekwa wazi au kama una maelezo ya ziada nijuze mkuu.
 
wewe siku haikamiliki bila kusema uongo
 
sasa wewe mbona upo mbali simba wameombwa lini acha kujipa moyo kama wameenda kitambo tuu
 
ahaaa, tuko vizuri hadi hapo. sio jukumu la TFF kufuatilia ni mchazaji gani anacheza huku akiwa na adhabu ya kutumikia. Ni jukumu la timu na utashi wa mchezaji husika. Kwa kawaida hata kamati au vyombo husika vikiona kuna dosari kama hiyo lazima iziite timu husika zijieleze kuhusu dosari hiyo, haiwezi kaa tu mezani yenyewe na kutoa maamuzi. Timu au mtu yeyote anepeleka malalamiko kwenye kamati kuhusu kuweko dosari katika mchezo flani lazima afuate taratibu na masharti. pamoja na mambo mengini taratibu hizo ni kufikisha malalamiko yako ndani ya mda uliowekwa, na kwamba ni lazima ulipie ada itakayoambatana na hati yako ya malalamiko.
 

Mkuu Simba wamesha wasilisha rufaa yao FIFA sasa sijui unazungumza nini kuhusu hao viongozi wa Yanga unaosema kuelekea simba sc kutafuta suluhu.....
 



Kuhusu hilo suala la Yanga SC kutaka suluhu ni kama kizingizio ambacho mnapanga kukitumia pale FIFA watakapo toa maamuzi yanayo fanana na yale ya TFF...


Ili tu ionekane suala limemalizwa baina ya pande mbili ili kukwepa aibu.
 
Nimekuelewa mkuu, lakini kuna kitu nitatafuta mwenyewe nijue zaidi ukweli wake.
 
Simba hawajielewi...jambo litaisha ivi ivi kimya kimya.. Na yanga ndio bingwa Mara tatu mfululuzo na anayo haki kwasababu kakabidhiwa kombe lake na kashinda kihalali
 
Mkuu nipe udambwidambi kidogo maana Hawa vyura hovyo sana Niko moto nao sana
 
Unafikiri fifa ni wajinga kihivo?
 
well said mkuu
 
Mnakumbuka sakata la Nurdin Bakari na Ngorongoro heroes tuliondolewa kwenye mashindano kwa sababu sheria inasema hata kwa bahati mbaya ukikosea umri timu inatolewa kwenye mashindano tatizo lilikuwa ni human error juu ya umri wa Nurdin Bakari kwenye cheti cha kuzaliwa na passport zilipishana
 
Punguza mihemko kidogo basi ndg yangu tusubiri haki itendeke ili iwe funzo kama ni makosa ya tff basi ijifunze kulingana na kukosea kwao kama walitenda haki basi ijulikane pia, FIFA hakunaga longolongo.. Afu usipende kuchanganya mambo yanayowahusu simba na tff kwa yanga..
 
Fifa ilitoa mwongozo dunia nzima vyama vyote vya soka viwe na kamati ya ligi na bodi ya ligi kusimia ligi husika ya nchi hili kuondoa figisu figusu kama hizi lakini naona TFF hawako sawa na hii kamati ya ligi
 
kweli Aveva amezishikilia akili za ma-mbu-mbu-mbu fc. yaani kweli mnategemea kabisa kabisa FIFA watoe ushindi kwa timu iliyoshindwa uwanjani kwa kutumia kanuni nyepesi hii? ulizeni kwanza wapi hili lilishawahi kufanikiwa!

afu na nyie yeboyebo (vyura) fc....ile kufungwa na Mbao jana kumewaondolea kabisa hadhi ya kuwa mabingwa. hamfai wala hamstahili kuwa bingwa bora VPL title isiwe na mwenyewe!! yule mwalimu wa kutoka Uwembani si lolote si chochote.....bora mrudisheni Pluijm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…