lalamiko wanalofikisha ni kupokwa poiinti zao walizopewa. FIFA itakuwa inasikiliza rufaa hili ikiwa ni rufaa ya pii. Utaratibu unaoangaliwa ni kama kamati iliyopangua maamuzi ya kamati ya kwanza ilikuwa sahihi kufanya vile. Sababu ziko wazi, maamuzi ya kamati ya saa 72 yalitenguliwa kwa sababu ilionekana simba hawakufuata utaratibu. kazi ya FIFA, kama rufaa itakuwa imefika kwa kufuata taratibu zilizowekwa, ni kuangalia tu utaratibu wa TFF katika kufikisha malalamiko na hatua za kuyatatua. Issue za sijui nani alicheza akiwa na kadi sijui ngapi FIFA watarirudisha kwa kamati husika ndani ya TFF, kama tu hiyo FIFA itaona kamati ya rufaa ya TFF hawakupaswa kutengua maamuzi.