Hii ndio sheria itakayo waumbua Simba sc Fifa

Umetumia lugha gani kijana? Mimi na ngosha inatushinda bhana
 
Ndio maana kina Kaburu na Aveva wanawadanganya kila siku,
FIFA ndio wana ushahidi kuwa Faki alikuwa na kadi 3 za njano ?

Kajifunze Kwanza mpira ukimaliza rudi ndipo ubishane na Mimi kwani kwa maelezo yako tu nimegundua kuwa nyie ndiyo wale mliokuja humu mijini kwa msaada wa Mbio za Mwenge halafu leo nanyi mnajifanya mnajua mpira. Tv zenyewe mmeanza kuziangalizia Dar es Salaam na si huko Vijijini Kwenu Kyaka Nkunde, Ikupilipa Nkoba na Mbwinde.

Tena Viongozi wa Simba SC wanatizama tu hizi post zenu wana Yanga FC na mkizidi kutuudhi hakyanani tunakinukisha huko FIFA na Tanzania inafungiwa, TFF kuadhibiwa na kusimamishwa kushiriki michuano yote ile ya Kimataifa na tutabaki tu sasa kucheza Ndondo Cup.

Huu ndiyo wakati muafaka wa Yanga FC na Wana Yanga wote kuwapigia Viongozi wa Simba SC magoti ili tusikinukishe huko Uswisi kunako FIFA.
 

Simba wameshatuma kifurushi FIFA
 
Kuna uwezekano wewe ndio Aveva

Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
 
Kama hulijui vizur hili suala piga kimya brother, Kama uliangalia press conference ya TFF walikiri kuwa ni kweli Fakhi ana kadi tatu za njano
Barua waliyopewa Simba toka TFF haielezi Fakhi anakadi 3
 
Consult your Mum probably She can tell you more about Me.
Well you did not get my point. Nilimaanisha maudhui ya content za baadhi ya thread zako nikajua ni hawa vijana wa miaka ya kizazi cha dot com. Issue sio mama yangu either. In a nut shell nilimaliza elimu ya msingi kipindi cha kugongewa punch mashine kwenye daftari linapoisha. Sasa jumlisha na kutoa find out do i have still to consult my mum? Any way it was good to know your age.
 

Uzuri ni kuwa Pua na ngozi yako zinasaidiwa na ubongo wako kutoa uchafu mwilini mwako...endeleza pumba zako...YANGA NI BINGWA MTETEZI NA PIA NI BINGWA ENDELEEZII...YANGA PREMIER LEAGUE(YPL)
 
akili za Lemutuz hizi
 
Kumbe bado hamjaenda tu fifa, mmekosa nauli au inakuaje, kweli uingozi wa Simba unawadanganya kweli mashabiki wao wamewafanya mamburura
 

Amua moja uandike tu Kiingereza katika post nzima au Kiswahili katika bandiko nzima na si kuchanganya Kiingereza na Kiswahili kwani wenye hizi tabia huwa ni Mashoga au Majike Shupa maarufu na pengine Wewe yawezekana ukawa ni muwakilishi wao mzuri.
 
Akili za watu wa Simba ni kama akili za Maalim Seif
 


Huko shule huwaga mnaenda kusomea ujinga?

Amekuwambia nani kuwa Bingwa wa LIGI KUU anapatikana kwa kushinda Mechi ya mwisho tu?

Ebu tumieni akili enyi watu wenye ngozi nyeusi.
 
Kumbe na wewe ni Simba !!
 
Akili za watu wa Simba ni kama akili za Maalim Seif


Wanangoja rufaa bhana .....waache wangoje rufaa...Na huyo anakuambia ati viongozi wa yanga walienda kuwaomba simba wasipeleke RUFAA FIFA.
 
Naomba kuuliza hapa pale mtu anapochelewa ku submitt claim/complaint chombo husika kinatakiwa ku struck out au ku dismiss hiyo matter ambayo imeletwa out of time...?
Hakuna mtu wa simba mwenye jeuri ya kukujibu hili swali. Zaidi ya kukuletea maelezo ya ziaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…