sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Silaha kuu wanayotumia Magaidi wa Palestina (HAMAS) ni raia wema na makazi yao, Ni ngumu sana kupigana na mtu anaetumia maisha ya raia wema kama ngao.
Pale Israel napopanga shambulizi huwa inatumia rasilimali nyingi, muda mwingi na maandalizi ya umakini ili kupunguza maafa kwa raia wema pindi inaposhambulia magaidi, silaha, miundombinu ya magaidi, n.k Magaidi wa Palestina (HAMAS) huhatarisha maisha ya raia wao kwa kuwafanya ngao hukuIsrael ikitumia rasilimali nyingi sana kufanya mashambulizi huku ikilinda raia wa Gaza.
1. makombora yanayorushwa kwenda Israel yapo ndani ya makazi ya raia wma, Jeshi la israel inabidi lishambulie hayo maeneo kwa lengo la kuteketeza silaha hizo ili kunusuru maisha ya wananchi wake. zifuatazo ni picha zilizonaswa kutoka angani siku ya jana zikionesha silaha zinazotupa makombora zikiwa katika makazi ya raia wema

- Maghorofa na majengo makubwa hutuika kama kama ofisi za Kupanga mikakati ya kigaidi, kutunza rasilimali za ki intelejensia kufanya ugaidi, kutunza mtambo ya mawasiliano baina ya magaidi, n.k Magaidi hutumia majengo ya mashirika makubwa kama lile lililolipuliwa juzi ambalo lilikuwa ni ofisi nyingi sana ikiwemo Al jazeera,
hii yote ni kwasababu jengo lilikuwa na raia wema wengi ambao hawakujua wanaishi na magaidi, Jengo lililipuliwa baada ya lisaa moja la onyo ili kunusuru maisha, ukiangalia hii video unaona kwamba ni jngo moja tu lilipuliwa kwa hesabu za hli ya juu sana ila kudhuru majengo mengie
- Magaidi wa Palestina (HAMAS) wana miundo mbinu ya mahandaki mengi sana Gaza inayotumika kufichia silaha, kusafirisha silaha, kuingia Israel na kuteka raia, n.k -- Mashambulizi yaliyofanyika juzi yalikuwa na dhumuni la kuharibu hii miundo mbinu, Ni kawaida kukuta handaki la silaha lipo chini ya shule ya watoto na misikiti.
- Zaidi ya makombora 300 yanayorushwa na Magaidi wa Palestina (HAMAS) yalipata hitilafu yakiwa bado ndani ya eneo la Gaza, hali hii imegharimu maisha ya raia wema wa Palestina na kusababisha ukosefu wa umeme baadhi ya maeneo.