Hii ndio "Status" ya Jeshi la Polisi kwa sasa

tatizo polisi wapo chini ya serikali kuu cyo tasisi inayojitegemea so hata uteuzi wa viongozi wa jeshi upo chini ya serikali kuu so jeshi la polisi halina maamuzi yake linapata maelekezo toka serikalini
 
tatizo polisi wapo chini ya serikali kuu cyo tasisi inayojitegemea so hata uteuzi wa viongozi wa jeshi upo chini ya serikali kuu so jeshi la polisi halina maamuzi yake linapata maelekezo toka serikalini
sawa kabisa Mpwa wangu na ndio maana nasema hivi, it will make sense kama watajitegemea na hata waziri wa ulinzi awe na mipaka yake maana siamini kama uhai wetu una uhusiano na siasa
 
sawa kabisa Mpwa wangu na ndio maana nasema hivi, it will make sense kama watajitegemea na hata waziri wa ulinzi awe na mipaka yake maana siamini kama uhai wetu una uhusiano na siasa

yap safi kabisa hivi vitu wivili kama Mahakama na polisi Lazima vijitegemee hapo ndo tutasema Tanzania kuna BaLance of power
 
yap safi kabisa hivi vitu wivili kama Mahakama na polisi Lazima vijitegemee hapo ndo tutasema Tanzania kuna BaLance of power
Ni kweli kabisa na haya ndio mawazo ambayo ni vyema yakawekwa kwenye nyakati hizi ngumu ambapo Taifa linapitia changamoto ngumu sana za kimaadali, kiutawala na kimaono
 
Duh, hapa nimeweka break Mpwa but kuliacha liendeleee hivi lilivyo ni sahihi kweli?

Mpwa haipaswi kuwa hivyo lakini ndio kama nilivyosema wayafanyao yanawanufaisha waliopo madarakani hawawezi kubadilika bila kung'oa mfumo !
 

You are not talking abt the police force then...tatizo kubwa na la wazi la sekta zote za nchi hii zipo kwenye System of Governance!

A new constitution first vingine vitafuata.

Unakumbuka kenya? Walipata katiba mpya then ndo wakaja kwenye vetting ya IGP na other police officials. IT WAS ALL STATED IN THE CONSITUTION.



KATIBA MPYA KWANZA..MENGINE BAADAYE.
 
Elli anasema ukweli, tuwapende tu hawa ni ndugu zetu jamani, mi nakuhakikishia kuwa kuna baadhi ya polisi wazuri kabisa na hawana shida kwenye kazi zao, wako fair na wana utu.
wanaochefua ni wale wenye tabia zilizopinda ambao ndio wanashawishika kubehave tofauti na kazi zao kwa kuwanyanyasa raia, wale wenye roho mbaya. na zaidi roho zao zinazidi ubaya kutokana na kutafuta vipato kwa nguvu, mtaji wao ni fani yao, sijui hao tuwafanyeje, ila msisahau kuna wazuri mno tena wenye msaada kwa raia, na tena hata wanakuwa washauri wazuri tu
 

umesema kweli tupu nayo kweli itakuweka huru
 

tuko pamoja sana na naamini kila kitu kinawezekana
 
ukweli toka moyoni
mwangu...i hate this watu called police....hata awe katika haligani
siwezi mpa msaada wowote....

mkuu siku ukivamiwa na majambazi utawakumbuka tu, mimi niliibiwa gari kwa msaada wa polisi lilipatikana sikutoa hata senti, subiri ya kukute
 
  • Raia ana haki ya
    kumwomba askari ajitambulishe kwako.
    • Mwulize jina
      lake
    • Mwulize namba yake
      ya uaskari

  • Raia ana haki ya
    kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama
    kukamatwa.

  • Raia ana haki ya
    kuwajulisha ndugu, jamaa ama sehemu anakofanyia kazi kwamba ama
    amekamatwa na polisi ama Taasisi ya Kuzuia
    Rushwa.

  • Raia ana haki ya
    kuomba na kupewa dhamana wakati akiwa kituo cha polisi ama Taasisi ya
    kuzuia rushwa.
    • Hutakiwi kutoa fedha
      kama dhamana uwapo kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa,
      isipokuwa maelezo
      utakayoandika.

  • Raia ana haki ya
    kuwaeleza polisi ama Maafisa wa Kuzuia Rushwa kwamba lolote atakalosema
    linaweza kutumiwa kama ushahidi mahakamani, na asiburuzwe kuandika
    tu.

  • Raia ana haki ya
    kuomba Wakili wake awepo kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa
    wakati anatoa maelezo yake.

  • Raia ana haki ya
    kuyasoma kabla ya kutia sahihi
    yake.

  • Raia ana haki ya
    kudai risiti ya orodha ya vitu vyake/fedha zake alizozitoa ama kukabidhi
    kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia
    Rushwa.

  • Raia kama ni
    mwanamke ana haki ya kupekuliwa na polisi wa kike, na iwapo hakuna
    polisi mwanamke, basi mwanamke yeyote na vile vile kwa
    mwanamume.

  • Raia ana haki ya
    kufikishwa mahakamani katika muda usiozidi saa 24 tangu alipokamatwa na
    kufikishwa kituo cha polisi.
 
Bw. Elli naunga mkono hoja yako na kuongeza lingine linaloniuzi zaidi

Jeshi la Polisi ni Watesaji na Wasiozingatia Haki za Binadamu,
- angalia pale mtuhumiwa anapokamatwa, hawakuambii kosa lako wanakunyanyua juu juu na makofi na mateke. Mwambiemtu kosa lake kwanza alaf mwambie anahitajika kituoni sio lazima kumpiga. ninachukia sana nikiona raia anapigwa na polisi, hawajui una tatizo la kiafya wala hawajali watoto wako wanakuangalia unavyopokea mkong'oto. namna hii sidhani kama watapata ushirikiano wa raia.
 
Hii mijibwa koko ya ccm ni kero tu...
 

Nimeiongeza hapo juu Mpwa kwenye habari yenyewe
 
mpwa system nzima imeharibiwa na rushwa, ni bahati mbaya tu kuwa wale wazuia rushwa nao ni wala rushwa,
yaani kauli mbiu ya PCCP ni ''kamata rushwa'' yaani chukua rushwa kwa mtoa rushwa au mpokea rushwa,
mimi nashauri tutwangane kwanza ili tuanze upya.
 
da mkuu we ni noma uchambuzi wako ni mzuri sana aiseee......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…