kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Baada ya kuona watu waliokuwa wanajazana kumuangalia mgombea aliyetoka Ulaya, wengi wa makamanda wakawa wanauliza tuliambiwa upinzani umekufa mbona haujakufa, mkaambiwa kuweni makini hao ni amsha amsha hakuna mpiga kura hapo.
Leo hii baada ya baadhi ya majimbo matokeo yake kutangazwa moja kwa majibu yenu yamepatikana kuwa upinzani marigio chee.
OMBI MAALUMU;
Tujitokeze kwa wingi siku ya kuapishwa Rais wetu kipenzi aliyevunja rekodi ya kura, ili atupe maendeleo uchaguzi umekwisha tujikite kwenye maendeleo.
NB: Pesa itarudi mtaani mishahara itaongezwa bila kusahau bima ya afya kwa kila mtanzania na vile vijiji 2000 na ushee kumaliziwa umeme wa REA maendeleo hayana vyama!