Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
Venus Star, post: 47869546, member: 525393Hasira ya nini mdogo wangu. Hapa tunaongea kwa facts. Umbea na taarabu peleka kwa khadija kopa
Jimbo la California kama ingekuwa ni nchi inayojitegemea ingekuwa ndani ya top 5 ya nchi zenye uchumi imara duniani, ingekuwa inapishana kidogo na nchi ya ujeruman na Japan ambazo ni za 3 na 4 Kwa uchumi dunianiHata na Mimi nimekuwa najiuliza maswali kibao kuhusu hesabu za uimara wa uchumi. Mfano: Uchumi wa Jimbo la California unaweza kuhimili vita vya Ukraine hata kwa mwezi mmoja akiwa na sanctions kibao?
Nadhani katika hesabu za kuangalia uimara wa kiuchumi, kuna baadhi ya vitu tunavi overlook.
California hawezi kuwa na uchumi iMara kuliko Russia.
Ni maoni yangu naweza nisiwe Sahihi
Asipokuelewa na hapa mpuuze.California's GDP in 2022 was $3.6T, representing 14.3% of the total U.S. economy. If California were a country, it would be the 5th largest economy in the world, and more productive than India and the United Kingdom.
Wakati huo Russia ni ya 11 kwa uchumi duniani[emoji107][emoji107]
Sina muda wakupoteza naishia hapa
Vita iko Russia na Ukraine, mtikisiko wa uchumi uko dunia mzima, California Hana ubavu wa kutikisa uchumi wa dunia. Kwa sasa ni US, China, Russia na nchi zenye kuzalisha mafuta. Hao wengine hapana aiseeJimbo la California kama ingekuwa ni nchi inayojitegemea ingekuwa ndani ya top 5 ya nchi zenye uchumi imara duniani, ingekuwa inapishana kidogo na nchi ya ujeruman na Japan ambazo ni za 3 na 4 Kwa uchumi duniani
Kwa uchumi huo ingeshindwa vipi kuhimili vita?
Sasa ndugu,si umeambiwa Urusi ni ya SITA kwa uchumi mkubwa duniani?Sema simu inapumulia mashine hapa na bando ndo iloo ningeleta facts za calfornia tu ungekimbia
Mbona Tanzania haipo kwenye list?
NImeweka top 7 Tanzania ni ya 82Mbona Tanzania haipo kwenye list?
hii ni Batili
California's GDP in 2022 was $3.6T, representing 14.3% of the total U.S. economy. If California were a country, it would be the 5th largest economy in the world, and more productive than India and the United Kingdom.
Wakati huo Russia ni ya 11 kwa uchumi duniani[emoji107][emoji107]
Sina muda wakupoteza naishia hapa
Hii tabia ya kuchukilia kila kitu hasi kisa hukubaliani nacho ni moja wapo ya ufala mkubwa.California's GDP in 2022 was $3.6T, representing 14.3% of the total U.S. economy. If California were a country, it would be the 5th largest economy in the world, and more productive than India and the United Kingdom.
Wakati huo Russia ni ya 11 kwa uchumi duniani[emoji107][emoji107]
Sina muda wakupoteza naishia hapa