Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

BWANA YESU ASIFIWE
Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake.

NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii. Kwanini inaogopwa sana na Nchi za Ulaya na Marekani? Kwanini nchi hizo zinaungana ili kupambana na nchi hii. Je ipo na tishio gani kwao?

Kwanza kabisa Urusi ipo na historia ndefu ni vigumu kuielezea kwa muda mfupi. Lakini mimi nitaongelea hali ya sasa ya Urusi, Hali ya kiuchumi, Kisiasa, Miundombinu, Viwanda na Utamaduni.

NCHI YA URUSI NI SHIRIKISHO
Nchi ya urusi ni Shirikisho limeundwa na federal subjects 89:-
1. Republic 24​
2. Krais 9​
3. Oblasts 48​
4. Federal cities 3​
5. Jewish Autonomous Oblast 1​
6. Autonomous okrugs 4​
View attachment 2756678
MAJENGO MAREFU ULAYA
Urusi ndio inaongoza kwa majengo marefu Ulaya. Majengo 5 marefu ulaya yote yapo Urusi

Lakhta Centre​

View attachment 2756685

RELI NDEFU DUNIANI
Urusi inaongoza kwa kuwa na Reli ndefu duniani inaitwa The Trans-Siberian Railway - Urefu 9,289KM

View attachment 2756695

UCHUMI WA URUSI
Kwa takwimu zilizo toka hivi karibuni Urusi ni ya 6 kwa uchumi duniani

View attachment 2756706


Hii hapa ni orodha ya Majiji 50 yenye maendeleo nchini Russia

1. Moscow
2. Saint Petersburg
3. Novosibirsk
4. Yekaterinburg
5. Kazan
6. Nizhny Novgorod
7. Chelyabinsk
8. Omsk
9. Samara
10. Rostov-on-Don
11. Ufa
12. Krasnoyarsk
13. Perm
14. Voronezh
15. Volgograd
16. Saratov
17. Krasnodar
18. Tolyatti
19. Tyumen
20. Irkutsk
21. Kaliningrad
22. Vladivostok
23. Ulyanovsk
24. Murmansk
25. Barnaul
26. Orenburg
27. Kemerovo
28. Novokuznetsk
29. Ryazan
30. Astrakhan
31. Tomsk
32. Penza
33. Lipetsk
34. Tula
35. Kirov
36. Khabarovsk
37. Orel
38. Vladikavkaz
39. Tambov
40. Bryansk
41. Ivanovo
42. Tver
43. Kaluga
44. Ulan-Ude
45. Smolensk
46. Yaroslavl
47. Tula
48. Belgorod
49. Kaliningrad
50. Kursk

NITAENDELEA KUTOA TAARIFA ZA KINA HUKU NIKIKARIBISHA WATU WALETE FACTS ZAO HAPA TUJADILIANE
Kaliningrad na Tula ..zimejirudia..
 
Sasa ndugu,si umeambiwa Urusi ni ya SITA kwa uchumi mkubwa duniani?
Na USA ni ya kwanza kwa uchumi duniani,na California imo ndani ya USA?
Sasa hapo Cha kubishania ni Nini?
California Ingekua ni nchi pengine hoja Yako Ingekua na mashiko.
Kaupinde kana shida halo ni kakukapuuza....
 
Ila weee nyota ya venus ni nyoko aisee. I salute u. Propaganda ni mbaya sana. Hata korea kaskazini ambayo nayo ulishaipandisha hapa nayo eti wanatuambia ni maskini!!!!!!
Dunia inaihitaji Russia imara kuliko wakati wowote.
 
Products izi zinatoka California wewe WhatsApp, Instagram, Twitter, Facebook, Wikipedia, Coca-Cola, Pepsi cola, Android, IOS, iPhone, Window, Google company. Vyote vinapatikana apo California. Kwa iyo akiingia ktk Vita izo products na services upati ndio utaijua California ni Jimbo au zaidi ya hao wakina Russian na hao wengine unao sifia sifia
Alafu unaichukulia poa California
Hii nchi Ina vijana wa hovyo sana...... Hizo ndio products za kutikisa uchumi wa Dunia!!?
 
Sasa fact gani?? Stop this childish nchi ambayo imepitwa uchumi karibia mara tatu na mji mmoja ni ya kupoteza nayo muda kwel[emoji107][emoji107] i pity u
Kama huna hoja kaa kimya,leta facts ,hili si jukwaa la kitoto!
 
Uzi huu umenifanya niione urusi KWA jicho la kipekee sana. Hizo mashine sio za kitoto na USA ana propaganda za kijinga sana kweli KWA midude hiyo urusi ni maskini?
 
Back
Top Bottom