Ikulu T
JF-Expert Member
- Aug 21, 2023
- 1,600
- 4,714
Najua kiongoz na wala sio ajabu kuna nch kama japan ni 200%+ ya GDPNimekuuliza unajua kuwa deni la USA ni 126% ya GDP? Jibu ndio au hapana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua kiongoz na wala sio ajabu kuna nch kama japan ni 200%+ ya GDPNimekuuliza unajua kuwa deni la USA ni 126% ya GDP? Jibu ndio au hapana.
Unajua nani anadai USA?Najua kiongoz na wala sio ajabu kuna nch kama japan ni 200%+ ya GDP
Nakupatia taarifa hii ya 2023Najua kiongoz na wala sio ajabu kuna nch kama japan ni 200%+ ya GDP
Sasa mwenzio anasema ulaya wewe unasema california..tukueleweje mkuu..Sema simu inapumulia mashine hapa na bando ndo iloo ningeleta facts za calfornia tu ungekimbia
Je unajua sababu ya kuwa na deni kubwa maana yake revenue yenu ni ndogo ukilinganisha na matumizi yenu.Najua kiongoz na wala sio ajabu kuna nch kama japan ni 200%+ ya GDP
Hilo jiji lipo bara gani? Jifikirie mkuuSasa fact gani?? Stop this childish nchi ambayo imepitwa uchumi karibia mara tatu na mji mmoja ni ya kupoteza nayo muda kwel[emoji107][emoji107] i pity u
Unatupotezea uelewa, mwenzio kasema ulaya...haya tuambie hyo california iko latitude ngap na longitude ngapi barani ulaya?California's GDP in 2022 was $3.6T, representing 14.3% of the total U.S. economy. If California were a country, it would be the 5th largest economy in the world, and more productive than India and the United Kingdom.
Wakati huo Russia ni ya 11 kwa uchumi duniani[emoji107][emoji107]
Sina muda wakupoteza naishia hapa
Sio huna muda bali ni kwa sababu huna cha kuandika kwa sababu ww ni kilaza usiye jua chochote kuhusu uchumi.Sina muda wa hiz siasa
Vyanzo vyake kiuchumi tafadhali...tuwekee hapa...isijekua ni jasho na damu ya waafrika imejenga hilo jiji...Itashindwa kijesh ila kiuchum inaweza
Haina shida ndugu yangu. Ngoja tuanze na Project hiiSasa post za mijengo zinachangia vp mjadala wa uwezo wa kiuchumi , kama ni uchumi lete projections za kiuchumi
Power of Siberia PipelineSasa post za mijengo zinachangia vp mjadala wa uwezo wa kiuchumi , kama ni uchumi lete projections za kiuchumi
Ata sasa ni ngumu kukubali kama China ina uchumi mkubwa kuliko Marekani ijapokuwa zipo tafiti zishaelezea hivo.Hata na Mimi nimekuwa najiuliza maswali kibao kuhusu hesabu za uimara wa uchumi. Mfano: Uchumi wa Jimbo la California unaweza kuhimili vita vya Ukraine hata kwa mwezi mmoja akiwa na sanctions kibao?
Nadhani katika hesabu za kuangalia uimara wa kiuchumi, kuna baadhi ya vitu tunavi overlook.
California hawezi kuwa na uchumi iMara kuliko Russia.
Ni maoni yangu naweza nisiwe Sahihi
Stage hip hiyo ambayo Marekan kavuka useme Urusi haijavuka? Yote ni mataifa makongwe sanaMnakimbia kule kwenye uwanja wa vita baada ya kupokea kipigo,, mnakimbilia kuleta history na vitakwimu visivyo na maana...hayo mamb unayoyapigia chepuo sijui china urusi ... marekani Tayar alishavuka hyo stage !!!