Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #81
Kwa ukongwe Urusi ni kongwe ukiringanisha na USAStage hip hiyo ambayo Marekan kavuka useme Urusi haijavuka? Yote ni mataifa makongwe sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ukongwe Urusi ni kongwe ukiringanisha na USAStage hip hiyo ambayo Marekan kavuka useme Urusi haijavuka? Yote ni mataifa makongwe sana
China imewekeza kwenye engineering zote unazojua wewe na ameenea karibu nchi zote duniani...na ndio nchi yenye viwanda vingi kbs vya wawekezaji wa kutokea ulaya...wawekezaji hao wamefuata cheap-labour...na cheap products..kwenye nyenja zote za mass production..Ata sasa ni ngumu kukubali kama China ina uchumi mkubwa kuliko Marekani ijapokuwa zipo tafiti zishaelezea hivo.
Hata na Mimi nimekuwa najiuliza maswali kibao kuhusu hesabu za uimara wa uchumi. Mfano: Uchumi wa Jimbo la California unaweza kuhimili vita vya Ukraine hata kwa mwezi mmoja akiwa na sanctions kibao?
Nadhani katika hesabu za kuangalia uimara wa kiuchumi, kuna baadhi ya vitu tunavi overlook.
California hawezi kuwa na uchumi iMara kuliko Russia.
Ni maoni yangu naweza nisiwe Sahihi
Fungua uzi wako kuhusu California mkuu..Sasa watu wasidiscus vitu vingine sababu California ni tajiri???California's GDP in 2022 was $3.6T, representing 14.3% of the total U.S. economy. If California were a country, it would be the 5th largest economy in the world, and more productive than India and the United Kingdom.
Wakati huo Russia ni ya 11 kwa uchumi duniani[emoji107][emoji107]
Sina muda wakupoteza naishia hapa
Calfonia angewekewa vikwazo harafu urusi isiwekewe vikwazo hata tusingejua duniani kama kuna eneo limewekewa vikwazo. Hata habari tusingekuwa nayo achilia mbali matokeo yakeHamna kitu hapa CALFORNIA tu inauchum mkubwa karibia mara tatu ya urusi
We muongo kwa nini mji mmoja unaurudia mara mbili?BWANA YESU ASIFIWE
Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake.
NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii. Kwanini inaogopwa sana na Nchi za Ulaya na Marekani? Kwanini nchi hizo zinaungana ili kupambana na nchi hii. Je ipo na tishio gani kwao?
Kwanza kabisa Urusi ipo na historia ndefu ni vigumu kuielezea kwa muda mfupi. Lakini mimi nitaongelea hali ya sasa ya Urusi, Hali ya kiuchumi, Kisiasa, Miundombinu, Viwanda na Utamaduni.
NCHI YA URUSI NI SHIRIKISHO
Nchi ya urusi ni Shirikisho limeundwa na federal subjects 89:-
1. Republic 242. Krais 93. Oblasts 484. Federal cities 35. Jewish Autonomous Oblast 16. Autonomous okrugs 4View attachment 2756678
MAJENGO MAREFU ULAYA
Urusi ndio inaongoza kwa majengo marefu Ulaya. Majengo 5 marefu ulaya yote yapo Urusi
Lakhta Centre
View attachment 2756685
RELI NDEFU DUNIANI
Urusi inaongoza kwa kuwa na Reli ndefu duniani inaitwa The Trans-Siberian Railway - Urefu 9,289KM
View attachment 2756695
UCHUMI WA URUSI
Kwa takwimu zilizo toka hivi karibuni Urusi ni ya 6 kwa uchumi duniani
View attachment 2756706
Hii hapa ni orodha ya Majiji 50 yenye maendeleo nchini Russia
1. Moscow
2. Saint Petersburg
3. Novosibirsk
4. Yekaterinburg
5. Kazan
6. Nizhny Novgorod
7. Chelyabinsk
8. Omsk
9. Samara
10. Rostov-on-Don
11. Ufa
12. Krasnoyarsk
13. Perm
14. Voronezh
15. Volgograd
16. Saratov
17. Krasnodar
18. Tolyatti
19. Tyumen
20. Irkutsk
21. Kaliningrad
22. Vladivostok
23. Ulyanovsk
24. Murmansk
25. Barnaul
26. Orenburg
27. Kemerovo
28. Novokuznetsk
29. Ryazan
30. Astrakhan
31. Tomsk
32. Penza
33. Lipetsk
34. Tula
35. Kirov
36. Khabarovsk
37. Orel
38. Vladikavkaz
39. Tambov
40. Bryansk
41. Ivanovo
42. Tver
43. Kaluga
44. Ulan-Ude
45. Smolensk
46. Yaroslavl
47. Tula
48. Belgorod
49. Kaliningrad
50. Kursk
NITAENDELEA KUTOA TAARIFA ZA KINA HUKU NIKIKARIBISHA WATU WALETE FACTS ZAO HAPA TUJADILIANE
California's GDP in 2022 was $3.6T, representing 14.3% of the total U.S. economy. If California were a country, it would be the 5th largest economy in the world, and more productive than India and the United Kingdom.
Wakati huo Russia ni ya 11 kwa uchumi duniani[emoji107][emoji107]
Sina muda wakupoteza naishia hapa
Ndio moja ya uchunguzi wangu mkuu. Kwa sasa nataka ningelee Technolojia. Kaa mkao wa kulaHuo uchunguzi wa miaka 5 uko wapi,mbona naona machapisho yaliyo nukuliwa kwenye Wikipedia,na encyclopedia Britannica?
We mpuuzi uzi unaongelea Rusia hiyo California imekujaje hapa?California's GDP in 2022 was $3.6T, representing 14.3% of the total U.S. economy. If California were a country, it would be the 5th largest economy in the world, and more productive than India and the United Kingdom.
Wakati huo Russia ni ya 11 kwa uchumi duniani[emoji107][emoji107]
Sina muda wakupoteza naishia hapa