Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

Kaliningrad na Tula ..zimejirudia..
 
Sasa ndugu,si umeambiwa Urusi ni ya SITA kwa uchumi mkubwa duniani?
Na USA ni ya kwanza kwa uchumi duniani,na California imo ndani ya USA?
Sasa hapo Cha kubishania ni Nini?
California Ingekua ni nchi pengine hoja Yako Ingekua na mashiko.
Kaupinde kana shida halo ni kakukapuuza....
 
Ila weee nyota ya venus ni nyoko aisee. I salute u. Propaganda ni mbaya sana. Hata korea kaskazini ambayo nayo ulishaipandisha hapa nayo eti wanatuambia ni maskini!!!!!!
Dunia inaihitaji Russia imara kuliko wakati wowote.
 
Hii nchi Ina vijana wa hovyo sana...... Hizo ndio products za kutikisa uchumi wa Dunia!!?
 
Sasa fact gani?? Stop this childish nchi ambayo imepitwa uchumi karibia mara tatu na mji mmoja ni ya kupoteza nayo muda kwel[emoji107][emoji107] i pity u
Kama huna hoja kaa kimya,leta facts ,hili si jukwaa la kitoto!
 
Uzi huu umenifanya niione urusi KWA jicho la kipekee sana. Hizo mashine sio za kitoto na USA ana propaganda za kijinga sana kweli KWA midude hiyo urusi ni maskini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…