Hii ndio utakuwa muonekano wa iPhone 16 Pro, Kampuni ya Apple imeishiwa ubunifu

Hii ndio utakuwa muonekano wa iPhone 16 Pro, Kampuni ya Apple imeishiwa ubunifu

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Mwezi Septemba mwaka huu, kampuni ya Apple inatarajiwa kuzindua iPhone 16 series ikiwemo, iPhone 16 plain, iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max.

Huu ndio utakavyokuwa muonekano wa simu ya iPhone 16 Pro huku macho matatu yakibaki vilevile kama kwenye iPhone 11 Pro.
IMG_2291.jpeg

Kampuni ya apple imeishiwa ubunifu.

Anyway, dada zetu ule muda wa kuumia umefika tena🤣
 
Hizi simu zina addiction, nimejionea mwenyewe. Kama mtu ako na pesa ajipatie kitu moyo unapenda.

Nilipoteza simu, nikapewa infinix ile sijui ilikuwa ni itel na bro. Nikawa naona mauza uza tu yan, kifupi ilinishinda nikamrudishia bro.

Ni kama mtu aliyezoea kudrive SUV afu mje mumpe vits, ataona km kadumbukia shimoni.
 
Mwezi Septemba mwaka huu, kampuni ya Apple inatarajiwa kuzindua iPhone 16 series ikiwemo, iPhone 16 plain, iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max.

Huu ndio utakavyokuwa muonekano wa simu ya iPhone 16 Pro huku macho matatu yakibaki vilevile kama kwenye iPhone 11 Pro.View attachment 3043966

Kampuni ya apple imeishiwa ubunifu.

Anyway, dada zetu ule muda wa kuumia umefika tena🤣
ulitaka waweke macho manne??
 
Back
Top Bottom