Hii ndio utakuwa muonekano wa iPhone 16 Pro, Kampuni ya Apple imeishiwa ubunifu

Hii ndio utakuwa muonekano wa iPhone 16 Pro, Kampuni ya Apple imeishiwa ubunifu

Steve job died with his innovations kampuni inabebwa na umarekani lkn innovation imekufa muda sana
 
Tutafuteni hela wajameni tupunguze malalamiko yasio na MSINGI
 
1.imessage
2.facetime
3.siri

Hayo ni baadhi ya matumizi ya iPhone ambayo wabongo walio wengi hawajui kuyatumia lakini kwa uku USA Hayo ni matumizi ya kila siku kwa iPhone user wengi kwa uku
.....so hoja yangu ni kwamba sidhani kama kuna ulazima kununua iPhone na hujui kuitumia vizuri
.,Hebu elezea hivyo vifungu vitatu ambavyo waafrika hajui kuvitumia....
 
Na wengi wanaotumia iPhone Africa hawajuwi matumizi yake, wengi wanatumia kwa kujionyesha kuwa wanayo na kupiga picha tu, very stupid of them.
Kwani wewe hiyo simu yako unatumia kufanya nini zaidi ya hayo matumizi ulio orodhesha? Wewe unaumia nini?
 
Mwezi Septemba mwaka huu, kampuni ya Apple inatarajiwa kuzindua iPhone 16 series ikiwemo, iPhone 16 plain, iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max.

Huu ndio utakavyokuwa muonekano wa simu ya iPhone 16 Pro huku macho matatu yakibaki vilevile kama kwenye iPhone 11 Pro.View attachment 3043966

Kampuni ya apple imeishiwa ubunifu.

Anyway, dada zetu ule muda wa kuumia umefika tena🤣
Haina maajabu
 
Kuna baadhi ya app hazikubali ku install.

Tatizo ni hili, Apps km 3 zilikataa ku install, aaah nkaona siwezi ishi bila hizi App nkaachana nayo.
App gani? Labda kama hujui na hufanyi updates……..! Hebu twambie apps zilizo kusumbua ….
 
Back
Top Bottom