Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtu mwenye akili za kikondoo tu anaweza kuita simu zote ambazo sio Iphone kua ni Android.Kondoo mwenyewe bana.
Wewe mwenye akili mbona ustaarabu huna?
Sasa we baba kondoo mbona huna tofauti na kondoo walioko zizini? Adabu huna, ustaarabu huna. Una tofauti gani na kondoo?Ni mtu mwenye akili za kikondoo tu anaweza kuita simu zote ambazo sio Iphone kua ni Android.
Ni Isheep tu anaweza kufikiri hivyo
Ni Isheep tu ambae akiwa na Laptop ya Apple, laptop nyingine zote ataziita Microsoft.
Ni Isheep tu qmbae akivaa saa ya Apple, smartwatch zote zilizobaki ataziita Android smart watches nk.
Mchicha🤔tukapalilie mchicha em
Maryjane aka solexI never failed we mpare 😂😂
Nachokitaka nakipata
Ndio fashion iliyopo sasa. Siyo Tecno tu hata vivo, Xiaomi, OnePlus, Honor, nk🤣🤣 hivi umeona hizi tecno, infinix latest? Camera bonge la duara kama plate ya jiko 😂😂😁
Dada zetu waumie kwa nini sasaMwezi Septemba mwaka huu, kampuni ya Apple inatarajiwa kuzindua iPhone 16 series ikiwemo, iPhone 16 plain, iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max.
Huu ndio utakavyokuwa muonekano wa simu ya iPhone 16 Pro huku macho matatu yakibaki vilevile kama kwenye iPhone 11 Pro.View attachment 3043966
Kampuni ya apple imeishiwa ubunifu.
Anyway, dada zetu ule muda wa kuumia umefika tena🤣
Tafuta D mbiliDada zetu waumie kwa nini sasa
Ila watu wa iPhone huwa mnatukanwa yaani mfano mie napenda kushika Infinix yangu mkononi alafu nikikaa naifunika kioo chini ili camera isiathirike na michubuko (ipo kwenye vibration)Why calling them stupid as if uliwanunulia? Why u guys are so bitter over apple products? Uwa mnafeli wapi?
Mwezi Septemba mwaka huu, kampuni ya Apple inatarajiwa kuzindua iPhone 16 series ikiwemo, iPhone 16 plain, iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max.
Huu ndio utakavyokuwa muonekano wa simu ya iPhone 16 Pro huku macho matatu yakibaki vilevile kama kwenye iPhone 11 Pro.View attachment 3043966
Kampuni ya apple imeishiwa ubunifu.
Anyway, dada zetu ule muda wa kuumia umefika tena🤣
Haha nimecheka sana, unaponda wanailiki european cars, unaponda wanaomiliki iphone una sahau samsung nao wana disadvantage zao, na si kila mtu atapenda samsungNarudia tena, iPhone ni simu ya watu fulani hivi hata AKILI na uwezo wao wa KUFIKIRI ni mdogo sana..
Jaribu kufanya utafiti.
Wenyewe wanajiita wanatunza BRAND same as wamiliki wa magari ya kijerumani BM , BENZ etc wanawaona wamiliki wa TOYOTA kama vile mavi.
Samsung itabaki kuwa Top na baadhi ya simu ambazo sio famous kutokana na uchache wa watumiaji wake ambao wengi ni wanajielewa mno mno.
Mkuu kunywa maji kidogo calm down ,calm downNarudia tena, iPhone ni simu ya watu fulani hivi hata AKILI na uwezo wao wa KUFIKIRI ni mdogo sana..
Jaribu kufanya utafiti.
Wenyewe wanajiita wanatunza BRAND same as wamiliki wa magari ya kijerumani BM , BENZ etc wanawaona wamiliki wa TOYOTA kama vile mavi.
Samsung itabaki kuwa Top na baadhi ya simu ambazo sio famous kutokana na uchache wa watumiaji wake ambao wengi ni wanajielewa mno mno.
Una uhakik gan sina hela Kaka.. 😅 sijalalamika nimesema yale nayoona yapo sahihi..Haha nimecheka sana, unaponda wanailiki european cars, unaponda wanaomiliki iphone una sahau samsung nao wana disadvantage zao, na si kila mtu atapenda samsung
Kaka tafuta hela, uachane na malalamiko madogo madogo
Kumbe?Kwani ina kazi gani nyingine zaidi ya ku commentia hapa Whatsapp na Jamii forums?
Situmii iPhone ila "Inferiority Complex" inakusumbuaKutumia iPhone ukiwa Afrika ni kupoteza pesa tu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machozii, bibi hupoii kabisaa.Kuna shoga gani la wazi lilinyimwa visa ya Marekani?
Haha haha haha haha haha haha 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😄 😄tukapalilie mchicha em
Nyie subirini comon 100😂
Sisi wa tecno camon 20 tunacomment wapi