LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Sio AfricaKutumia iPhone ukiwa Afrika ni kupoteza pesa tu...
Ikiwa KAZI kubwa yako ninkutazama social media,
Ni njia Pana ya kukuingizia kwenye shimonla umaskini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio AfricaKutumia iPhone ukiwa Afrika ni kupoteza pesa tu...
Mi naruhusiwa kugusa hii comment, enzi za 11-13 hapo kwakweli wadada waliteseka sana siku hizi haishtui sana we huko mambele watu walikuwa wanapanga mawe kuweka foleni,Shida ya Hiyo Brand anayetumia 11,12,13,14,15 hawatofautiani...
Mtu anaweza kujigamba anatumia 15 wakati anayotumia ni 11 vile zinavyofanana( Na hii comment yangu isiguswe) isipokuwa huyu Atoto tu🤣
simu ni nzuri
Kuanzia muonekano mpk ndani
Mtu anajimudu why usijipe kitu upendacho?
Mbona kuna wenzetu wanatumia perfume za laki 8,6. Afu sie tunatumia copy zake kwa pesa kidogo nukato lile lile na zinaitwa oil based sijui za kupima. Hamna kelele,, ila njoo kwa apple products dhidi ya wasiozitumia,, ni fujo mwa mwii
Ulitaka wa-design vp bro kwa mtazamo wako ?Mwezi Septemba mwaka huu, kampuni ya Apple inatarajiwa kuzindua iPhone 16 series ikiwemo, iPhone 16 plain, iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max.
Huu ndio utakavyokuwa muonekano wa simu ya iPhone 16 Pro huku macho matatu yakibaki vilevile kama kwenye iPhone 11 Pro.View attachment 3043966
Kampuni ya apple imeishiwa ubunifu.
Anyway, dada zetu ule muda wa kuumia umefika tena🤣
Huu ndio ulimbukeni Sasa, kisa wewe unatumia Range, unadharau wanaotumia IST Kila mtu atumie kile anachopenda. Mimi na brother wangu anatumia Samsung yakawaida tu, tena alinunua laki 4 na 40 lakini kamnunulia mdogo wetu wa mwisho Samsung S24 Zaid ya mil 2 na laki 4. Kwahio usidharau au kuheshimu mtu kisa simu au gari. Issue ni vipaumbele tu.🤣🤣
Kuna hiyo moja nilimuona nayo mtu hee camera pana adi nilishtuka af huyo mtu nilikua namuheshimu sana
X ipi? Xr sio X? Labda uniambie XmasKama ulizipenda Xr na 11 plain series basi bado hujui iPhone....hizo ndo simu zina vioo vibaya, iPhone X ana kioo kizuri kuliko hizo simu
Relax, usichukulie mambo serious hivyo kwenye social mediaHuu ndio ulimbukeni Sasa, kisa wewe unatumia Range, unadharau wanaotumia IST Kila mtu atumie kile anachopenda. Mimi na brother wangu anatumia Samsung yakawaida tu, tena alinunua laki 4 na 40 lakini kamnunulia mdogo wetu wa mwisho Samsung S24 Zaid ya mil 2 na laki 4. Kwahio usidharau au kuheshimu mtu kisa simu au gari. Issue ni vipaumbele tu.
Humo tu humo tuuu 👌👌lakini pia ni portable.
We unatumia simu ganNa wengi wanaotumia iPhone Africa hawajuwi matumizi yake, wengi wanatumia kwa kujionyesha kuwa wanayo na kupiga picha tu, very stupid of them.
Hiyo Samsung S 24 huyo Mdogo wenu alinunuliwa used Mjomba?Huu ndio ulimbukeni Sasa, kisa wewe unatumia Range, unadharau wanaotumia IST Kila mtu atumie kile anachopenda. Mimi na brother wangu anatumia Samsung yakawaida tu, tena alinunua laki 4 na 40 lakini kamnunulia mdogo wetu wa mwisho Samsung S24 Zaid ya mil 2 na laki 4. Kwahio usidharau au kuheshimu mtu kisa simu au gari. Issue ni vipaumbele tu.
Ahsante Shem Darling...Nasubiria...😅Subiri kwanza ni'upgrade toka itel nikufikie shem darling 🤣🤣🤣
Huo ndiyo ukweli, kama wewe cocastic ukibeba hiyo ukienda kuomba visa ya Marekani wala hupati tabu, tena unasaidiwa kujaza form.Kumekuchaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ww mwnyw unazijua ila utafanyaje sasa na wakati ushaamua kuwa mlevi wa iphoneeeeeeWamekulimit nini?
Mention 5 limitations
Kwani ina kazi gani nyingine zaidi ya ku commentia hapa Whatsapp na Jamii forums?Na wengi wanaotumia iPhone Africa hawajuwi matumizi yake, wengi wanatumia kwa kujionyesha kuwa wanayo na kupiga picha tu, very stupid of them.
HahahaWhy calling them stupid as if uliwanunulia? Why u guys are so bitter over apple products? Uwa mnafeli wapi?