Hii ndio utakuwa muonekano wa iPhone 16 Pro, Kampuni ya Apple imeishiwa ubunifu

Inatakiwa kila Toleo liwe tofauti na kuwa na advanced features kuliko la mwanzoni...sasa kama hakuna jipya ni bora watulie waje na kitu kipya kitachomfanya mtu atoe milioni 5 kununua MACHO MANNE.
 
To be the honest, I4n ni cm kalii na naikubalii mnoo. Ila shida ni 1 tyuh LIMITATIONS!!

niliwahi kua nayo 11pro, bahati nzuri nilipewa, jamani ina Limits had kero, nkaonaa siwezani nayo, ya nn nikae na cm ambayo hainipi kile nachopendaa,

Nikampa dogo, yeye akanipa Samsung. Niko huku android.
Ila iOS siku wakiondoa limitations, mbona niko huko tena Latest version.
 
Wamekulimit nini?
Mention 5 limitations

Shida ya Hiyo Brand anayetumia 11,12,13,14,15 hawatofautiani...

Mtu anaweza kujigamba anatumia 15 wakati anayotumia ni 11 vile zinavyofanana( Na hii comment yangu isiguswe) isipokuwa huyu Atoto tu🤣
 
Shida ya Hiyo Brand anayetumia 11,12,13,14,15 hawatofautiani...

Mtu anaweza kujigamba anatumia 15 wakati anayotumia ni 11 vile zinavyofanana( Na hii comment yangu isiguswe) isipokuwa huyu Atoto tu[emoji1787]
Dyadyaa!! Ujue kuna watu wanashangaa sana mie kutumia android,

Wanasema ujanja wotee huo hauko iOS, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa iOS enyewe chimbo haitaki kupokea, aaaah wee.

Limitations ilinikimbizaa bhanaa,
 
Karibu ulimwengu wa Android Mdogo wangu....😘
 
Back
Top Bottom