Hii ndio utakuwa muonekano wa iPhone 16 Pro, Kampuni ya Apple imeishiwa ubunifu

Hii ndio utakuwa muonekano wa iPhone 16 Pro, Kampuni ya Apple imeishiwa ubunifu

simu ni nzuri
Kuanzia muonekano mpk ndani
Mtu anajimudu why usijipe kitu upendacho?

Mbona kuna wenzetu wanatumia perfume za laki 8,6. Afu sie tunatumia copy zake kwa pesa kidogo nukato lile lile na zinaitwa oil based sijui za kupima. Hamna kelele,, ila njoo kwa apple products dhidi ya wasiozitumia,, ni fujo mwa mwii
Swadakta.

Kuna mtu ananunua soda ya takeaway kwa elfu 5 ambapo soda hiyo hiyo unainunua buku kwa Mangi.

Kila kitu ni uwezo tu ila makapuku wa kuweka rehani miili yao ili wapate iphone wakizipata sasa, wanahisi hata Elon Musk ni Matonya.
 
Back
Top Bottom