Hii ndio utakuwa muonekano wa iPhone 16 Pro, Kampuni ya Apple imeishiwa ubunifu

Hii ndio utakuwa muonekano wa iPhone 16 Pro, Kampuni ya Apple imeishiwa ubunifu

Mwezi Septemba mwaka huu, kampuni ya Apple inatarajiwa kuzindua iPhone 16 series ikiwemo, iPhone 16 plain, iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max.

Huu ndio utakavyokuwa muonekano wa simu ya iPhone 16 Pro huku macho matatu yakibaki vilevile kama kwenye iPhone 11 Pro.View attachment 3043966

Kampuni ya apple imeishiwa ubunifu.

Anyway, dada zetu ule muda wa kuumia umefika tena🤣
Siku hizi Marekani na Canada wanaobeba hizo ni LGBTQ.
 
Ha ha KAMA UNA IPHON YOYOTE NA UMESAHAU PASSWORD NICHEKI TUIFLASH IPHON YOYOTE NASISITIZA ACHENI KUUZA HIZO SIMU KAMA SPARE
 
iphone na samsung zile high end si kwa hohehahe ila ili kujipa moyo ndiyo kauli za kuzipondea husemwa.
simu ni nzuri
Kuanzia muonekano mpk ndani
Mtu anajimudu why usijipe kitu upendacho?

Mbona kuna wenzetu wanatumia perfume za laki 8,6. Afu sie tunatumia copy zake kwa pesa kidogo nukato lile lile na zinaitwa oil based sijui za kupima. Hamna kelele,, ila njoo kwa apple products dhidi ya wasiozitumia,, ni fujo mwa mwii
 
Hizi simu zina addiction, nimejionea mwenyewe. Kama mtu ako na pesa ajipatie kitu moyo unapenda.

Nilipoteza simu, nikapewa infinix ile sijui ilikuwa ni itel na bro. Nikawa naona mauza uza tu yan, kifupi ilinishinda nikamrudishia bro.

Ni kama mtu aliyezoea kudrive SUV afu mje mumpe vits, ataona km kadumbukia shimoni.
Huyo alie kuoa infinix au itel nae alikudharau sana😂😂 flagships android ziko kibao, samsung, xiomi,oneplus,LGs, sony akishindwa sana oppo series za renno
 
simu ni nzuri
Kuanzia muonekano mpk ndani
Mtu anajimudu why usijipe kitu upendacho?

Mbona kuna wenzetu wanatumia perfume za laki 8,6. Afu sie tunatumia copy zake kwa pesa kidogo nukato lile lile na zinaitwa oil based sijui za kupima. Hamna kelele,, ila njoo kwa apple products dhidi ya wasiozitumia,, ni fujo mwa mwii
tajiri inabidi uanze tumia manukato ya gucci.. og kabisa.. hizo copy wabaki nazo tunao tumia techno phantom
 
Tokea Iphone 14 Pro Max hadi sasa hiyo Iphone 16 Pro Max hakuna changes kwenye shape na size ya nje, kimuonekano ni sawa, labda colors tofauti tu na some softwares advancement kidogo, ndio hivyo ukiwa na Iphone 14 Pro Max huna haja ya kununua Iphone 16 Pro Max, hakuna haja kabisa
 
simu ni nzuri
Kuanzia muonekano mpk ndani
Mtu anajimudu why usijipe kitu upendacho?

Mbona kuna wenzetu wanatumia perfume za laki 8,6. Afu sie tunatumia copy zake kwa pesa kidogo nukato lile lile na zinaitwa oil based sijui za kupima. Hamna kelele,, ila njoo kwa apple products dhidi ya wasiozitumia,, ni fujo mwa mwii
hii ni sawa na ile 'sizitaki mbichi hizi', lazima tukubali kuwa si kila kitu kwa kila mtu na si kila mtu wa kila kitu.
 
Tokea Iphone 14 Pro Max hadi sasa hiyo Iphone 16 Pro Max hakuna changes kwenye shape na size ya nje, kimuonekano ni sawa, labda colors tofauti tu na some softwares advancement kidogo, ndio hivyo ukiwa na Iphone 14 Pro Max huna haja ya kununua Iphone 16 Pro Max, hakuna haja kabisa
Ni sawa na galaxy S23 na S24 hakuna tofauti
 
Back
Top Bottom