granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
miafrica ndo tulivo, ukiwa nacho shida, ukiwa huna shida..Pesa ya mtu inakupandisha sukari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
miafrica ndo tulivo, ukiwa nacho shida, ukiwa huna shida..Pesa ya mtu inakupandisha sukari
Basi mie nitakuchukulia zawadi tajiri yangu.. ile ukipita au ukikaa mahala hivi ile manukato yako ina dominate wotee... ile harufu yake itachochea wateja kuongezeka mteja anakuja ili tu asikiie ile harufuHayasaidii ktk mchicha hayo
Bora simu napiga picha nzuri za mchicha
Ni sawa na galaxy S23 na S24 hakuna tofauti
Ni maoni yakePesa ya mtu inakupandisha sukari
Tetea hoja yakoKutumia iPhone ukiwa Afrika ni kupoteza pesa tu...
Makasiliko ya bule mkuuNa wengi wanaotumia iPhone Africa hawajuwi matumizi yake, wengi wanatumia kwa kujionyesha kuwa wanayo na kupiga picha tu, very stupid of them.
1.imessageMkuu tunaomba matumizi matatu ambayo waafrika hatuyajui.
Kama mtu unaimudu kwanini usiinunue tu.
Watu wanashindwa kukubali kuwa nchi hii kuna watu wanaishi maisha ya standard za juu sana kuliko hao walioko uko U.S.A.Why calling them stupid as if uliwanunulia? Why u guys are so bitter over apple products? Uwa mnafeli wapi?
imassage
Usema kweli iPhone kwa nchi zilizoendelea zina added advantage.. hata hapo SA ukiwa na iPhone ndio utaona maunyama yake.. ndio inakuja ile kauli ya wanaobeza iPhone ina fail..Kheee kwamba hawajui kutumia imessage? Uko serious boss?
Kwanza hata kuiandika unachapia 😄😄
Plate za jiko😂😂 sijapendaWalitaka waweke camera zina macho mabaya kama simu za android za siku hizi. Camera kama plate za jiko 🤣🤣
Sure. Na wengine hata somo la self love hawalijui,, wanadhani ni sifa kuteseka.Watu wanashindwa kukubali kuwa nchi hii kuna watu wanaishi maisha ya standard za juu sana kuliko hao walioko uko U.S.A.
🤣🤣 hivi umeona hizi tecno, infinix latest? Camera bonge la duara kama plate ya jiko 😂😂😁Plate za jiko😂😂 sijapenda
Wewe wangekupa tu ubrand ambassador maana unawawakilisha vema🤣
🤣🤣🤣🤣 hivi umeona hizi tecno, infinix latest? Camera bonge la duara kama plate ya jiko 😂😂😁
😂😂😂😂 hiv huwa mnawaumiza wapi vile???Anyway, dada zetu ule muda wa kuumia umefika tena🤣
mtu anapewa macho matatu, anatoa jicho moja ...😂😂😂😂 hiv huwa mnawaumiza wapi vile???
taufiq turky gari yake ilopata ajali tunaambiwa ni 900,000,000/= hali ya kuwa sisi wengine tunalalamika kupanda ushuru wa passo. tujikune tu pale mkono unapofikia na tujifunze kuacha makasiriko.Makasiliko ya bule mkuu
Kila mtu atumie simu anayoipenda
Sim ya kwanzs ilikua apple
Na hata leo natumia apple
Kwann unasema wajinga? Kwanin useme wanajionesha kivipi na kwanini?
😂😂😂 Imemaliza bhana. hii hapa nimejiapiza nitoboe nayo mwaka.. ile ya kabla ya hii ndio nilibadilisha within 3 months sababu ilikuwa pro max kubwa sana ikanishinda kuizoeaIle nyingine si hata miezi mi3 hado haijafika?
Itumie tumie kwanza hata hela iende kihalali kha🤣🤣
1.massage
2.facetime
3.siri
Hayo ni baadhi ya matumizi ya iPhone ambayo wabongo walio wengi hawajui kuyatumia lakini kwa uku USA Hayo ni matumizi ya kila siku kwa iPhone user wengi kwa uku
.....so hoja yangu ni kwamba sidhani kama kuna ulazima kununua iPhone na hujui kuitumia vizuri