Hii ndiyo Dubai bwana

Hii ndiyo Dubai bwana

Nimeshangaa unaitaja Dar na Kampala unalinganisha na Dubai

Hata baadhi ya majiji makubwa ya Marekani, Ulaya na Far East Asia hayaifikii Dubai
Hayaifikii dubai katika lipi?????Kila mji una utofauti wake na uzuri wake Kampala haiwezi kua dubai na dubai haiwezi kua Kampala au Dar!!!!!Some member wa JF wawe wanatembea kwanza duniani kabla hawajatuletea nyuzi za namna hii!!!Kuna watu wametulia wanachora tu na kucheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyo hawapendi wamagharibi yeye anawapenda wamashariki si unaona hata jina lake kwa kirefu lina maanisha nini🤣🤣🤣🤣🤣!!!!!!!Waafrika bhana umagharibi na umashariki unawafanya muwe maz...........u!!!!!
Uzi huu unahusiana vipi na kutowapenda wa magharibi mbona hakuna viashiria vyovyote ? wewe hapo ndio akili yako imekaa kichuki maana hakuna kitu chochote kinachohusiana na uarabu au uislamu isipokuwa lazima comment yako ya hovyo ipatikane ,na nilitaka kukutag baada ya kuangalia kwa haraka na kutoona comment yako.
 
Los angeles na new york hazipo kwa the most modern cities in the world kwenye top 10. Jiji lililopo ni san francisco na ndilo linaongoza kwa marekani kwa kuwa modern. Majiji mengi yaliyomo ni nchi za Asia maana yamejengwa miaka ya hivi karibuni hivyo yana ylubunifu wa kisasa na technology za kisasa zaidi
Niongezee hapo Dubai sio mji umekua kwa asili kama majiji mengine ila ni artificial, lakini kulinganisha na Los Angeles bado Dubai ipo juu
 
Dubai inatisha,mwarabu akiletewa michoro mizuuri na mchina namna mji uwe yeye anamwaga hela tu.
hivi ni kweli miaka ya 60's Tanzania ilikua sawa kiuchumi na Dubai?.
Dubai ni kariakoo ya dunia mkuu.
Hapo mzungu kawekeza sana ndio maana hata sheria za dini sio kali kama nchi zingine za kiarabu na kiislam
 
Uzi huu unahusiana vipi na kutowapenda wa magharibi mbona hakuna viashiria vyovyote ? wewe hapo ndio akili yako imekaa kichuki maana hakuna kitu chochote kinachohusiana na uarabu au uislamu isipokuwa lazima comment yako ya hovyo ipatikane ,na nilitaka kukutag baada ya kuangalia kwa haraka na kutoona comment yako.
Kaka upo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asalaam aleykuum!!!!Nimekusalimia kiarabu kaka!!!!!Au nikusalimie kibantu🤣🤣🤣🤣
 
Confirmed : You have gone totally crazy..

Mbona Tundu Lisu ametoa kabisa clip akizungumzia maovu ya Nyerere na makosa katika utawala wake na yeye ni Takbir ?

#HunaAkili
Yaani unategemea kujua maovu ya Baba wa taifa la Tanzania mtukufu Nyerere kupitia tundu lissu🤣🤣🤣🤣Kweli umetisha mdogo wangu🤣🤣🤣🤣Umezaliwa mwaka gani hapa duniani???
 
Hayaifikii dubai katika lipi?????Kila mji una utofauti wake na uzuri wake Kampala haiwezi kua dubai na dubai haiwezi kua Kampala au Dar!!!!!Some member wa JF wawe wanatembea kwanza duniani kabla hawajatuletea nyuzi za namna hii!!!Kuna watu wametulia wanachora tu na kucheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mleta mada anazungumzia modern cities

Kwa hali ya kawaida huwezi kukaa ulinganishe Dar na Dubai kwenye u-modern

Dubai inapaswa ishindanishwe na majiji kama Shanghai, Chicago, Shenzhen, Singapore, Seoul, San Fransisco, Tokyo, Hong Kong na mengine ya type hiyo ingeleta mantiki
 
Kwa hapo nimekuelewa kaka
 
Yaani unategemea kujua maovu ya Baba wa taifa la Tanzania mtukufu Nyerere kupitia tundu lissu🤣🤣🤣🤣Kweli umetisha mdogo wangu🤣🤣🤣🤣Umezaliwa mwaka gani hapa duniani???
Wapi nimesema au kuashiria kuwa nategemea kujua maovu ya Nyerere kupitia Tundu Lisu au nasapoti kauli ya Lisu ?

Hivi umeshindwa kuchambua comment yangu fupi na kujua maudhui yake kiasi ambacho umejibu OP kabisa ?

Malengo yangu yalikuwa ni kuonyesha kuwa sio kila wanaomkosoa N Nyerere ni waislamu nashangaa wewe kuandika hivyo na kudhihirisha jinsi gani kiwango cha kuchambua na kuelewa mazungumzo ni duni sana..
 
Back
Top Bottom