Tundapori
JF-Expert Member
- Aug 12, 2007
- 650
- 276
Mkuu tuma na picha za vijijini kwao ,au hawanaa vijijini mkuu wanguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu picha za vijiji vya bongo?
Hebu virushe hapa tuvione.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tuma na picha za vijijini kwao ,au hawanaa vijijini mkuu wanguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka na wewe upo ustaadhi nikusalimie!l kiarabu Aslaam aleykuum🤣🤣🤣Au nikusalimie kibantu🤣🤣🤣!!!!!Ukiona thd imetaja Mwarabu na kumsifia kwa jambo lolote lile hua unaumia sana,lazima ujipitishe huku ukitingisha Ka...**o
Ubaguzi wako na chuki zako unasababishwa na umasikini wako na kukata tamaa ya maisha,
Nimesha kusoma sana na chuki zako kwa imani ile,endelea tu kuteseka na kufuga ujinga,fainali uzeeni,angalia tu usije ukawapa watu wengine kazi ya kuja kukulea uzeeni.
Huyo jamaa namshangaa sanaa yaan sijui ana tatizo sema ndio unaamua kukausha tu humu kuna watu Wana matatizo ya akili na inatakiwa twende nao taratibu tuUkiona thd imetaja Mwarabu na kumsifia kwa jambo lolote lile hua unaumia sana,lazima ujipitishe huku ukitingisha Ka...**o
Ubaguzi wako na chuki zako unasababishwa na umasikini wako na kukata tamaa ya maisha,
Nimesha kusoma sana na chuki zako kwa imani ile,endelea tu kuteseka na kufuga ujinga,fainali uzeeni,angalia tu usije ukawapa watu wengine kazi ya kuja kukulea uzeeni.
Waafrica inatakiwa tutawaliwe tena tulifanya haraka sanaa kuwafukuza wakoloni Shobo za Nyerere na wenzake hatukutakiwa kuwafukuza wakoloni muda ulikua badoMungu alimpunja akili mtu mweusi.
Anayebisha aje tubishane kwa hoja
Tunalipa kodi ,hao walio pewa dhamana ya kufanya hayo wanakuwa wapi hadi linakuwa korongo,ndo ujue weusi ni mabwege[emoji2]Nakubaliana na wewe mkuu,mfano mimi huwa kuna kitu huwa nakitafakari na mwisho najipa majibu kuwa sisi weusi hatuna tofauti na wanyama
Mfano unakuta mtaani kwenye barabara ya mtaani kwetu kinatokea kikorongo kidogo sana kinaanza kutuamisha maji lakin hutaona hata mtu mmoja anajitolea kukifukia mwisho wa siku linakuwa shimo kubwa mpaka barabara inashindikana kupitika na wakati huo,hapo hapo mtaani kuna watu wana magari
Wale wa kila siku wameshajimilikisha nchi, hakuna wakuwapoka mali yao.Hata Dar ingeweza kuwa hivi endapo Watanzania wangeamua kuwajaribisha wengine zaidi ya wale wale wa kila siku!.
P
Mkuu,Dubai inatisha,mwarabu akiletewa michoro mizuuri na mchina namna mji uwe yeye anamwaga hela tu.
hivi ni kweli miaka ya 60's Tanzania ilikua sawa kiuchumi na Dubai?.
Kweli mkuu uwezi kulinganisha.lakini hata tungekuwa na mafuta kama hayo ya Dubai tungetoboa mzee baba?,Check Nigeria,Niger,drc n,kMkuu,
Huwezi kulinganisha uchumi wa mafuta na uchumi wa katani.
Ona jinsi ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri,Mkuu,
Huwezi kulinganisha uchumi wa mafuta na uchumi wa katani.
Sisi tatizo letu ni akili, si rasilimali.Kweli mkuu uwezi kulinganisha.lakini hata tungekuwa na mafuta kama hayo ya Dubai tungetoboa mzee baba?,Check Nigeria,Niger,drc n,k
Mimi sideal na machoko acha kujilengesha,Kaka na wewe upo ustaadhi nikusalimie!l kiarabu Aslaam aleykuum🤣🤣🤣Au nikusalimie kibantu🤣🤣🤣!!!!!
basi nikwambie kitu mkuu tungekua na matumizi mazuri ya akili hata kwa huo uchumi wa mkonge na rasilimali zingine tulizonazo tungetoboa,au nasema uongo chif?Sisi tatizo letu ni akili, si rasilimali.
Ingawa hatuna uchumi wa mafuta, hata uchumi wetu wa sasa haulingani na rasilimali zetu.
Tulipotea njia tangu tulipoamua kugawana umasikini kwenye ujamaa.
Hizi swimming polles za Dubai ni kwa ajili ya wageni tu maana wao havui nguo hadharani, kuna haja gani ya kuwa na mali halafu huimjoi?Jamani eh tukubali tukatae watu waupe wametupiga gepu kubwa sana na tuna tuna safari ndefu kuwapata.
Ebu angalia Dubai alafu ujiulize Dar au Kampala zikija kufikia hatua hii itakuwa ni mwaka gani.
View attachment 2494991View attachment 2494992View attachment 2494993View attachment 2494994View attachment 2494995View attachment 2494997View attachment 2494998View attachment 2494999View attachment 2495000View attachment 2495001View attachment 2495002View attachment 2495004View attachment 2495005View attachment 2495006
Ulichoandika ndicho nilichoongezea kwenye bandiko langu uliloninukuu baada ya wewe kunukuu na kabla sijasoma maandishi yako.basi nikwambie kitu mkuu tungekua na matumizi mazuri ya akili hata kwa huo uchumi wa mkonge na rasilimali zingine tulizonazo tungetoboa,au nasema uongo chif?
tuko pamoja mkuu,ila kama ntakua sijakosea kuna reply moja ulisema atuwezi kulinganisha uchumi wa mafuta na mkonge,,baada ya mimi kuuliza miaka ya 60's tulikua uchumi sawa na Dubai?,Ulichoandika ndicho nilichoongezea kwenye bandiko langu uliloninukuu baada ya wewe kunukuu na kabla sijasoma maandishi yako.
Tumefikiria kitu kimoja.
Hata Dar ingeweza kuwa hivi endapo Watanzania wangeamua kuwajaribisha wengine zaidi ya wale wale wa kila siku!.
P