adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Hasira ziko wapi na matusi yapo wapi ?Kaka hasira za nn tena mara matusi🤣🤣🤣 karibu tule kaka!!!!Nimekusalimia asalaam aleykuum!!!!!
Wa'aleykum.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasira ziko wapi na matusi yapo wapi ?Kaka hasira za nn tena mara matusi🤣🤣🤣 karibu tule kaka!!!!Nimekusalimia asalaam aleykuum!!!!!
Sheikh Nikutakie siku njema rafiki yanguHasira ziko wapi na matusi yapo wapi ?
Wa'aleykum.
Tundu atakupoteza achana nae!!!Yupo timu B!!!!Na wale wazee wa kariakoo achana nao watakupoteza pia!!!Wao wanamchukia nyerere kwa sababu kuu mbili nazo ni udini na aliwanyima wazazi wao vyeo!!!!!Nikutakie siku njema kakaWapi nimesema au kuashiria kuwa nategemea kujua maovu ya Nyerere kupitia Tundu Lisu au nasapoti kauli ya Lisu ?
Hivi umeshindwa kuchambua comment yangu fupi na kujua maudhui yake kiasi ambacho umejibu OP kabisa ?
Malengo yangu yalikuwa ni kuonyesha kuwa sio kila wanaomkosoa N Nyerere ni waislamu nashangaa wewe kuandika hivyo na kudhihirisha jinsi gani kiwango cha kuchambua na kuelewa mazungumzo ni duni sana..
Hata Dar ingeweza kuwa hivi endapo Watanzania wangeamua kuwajaribisha wengine zaidi ya wale wale wa kila siku!.Jamani eh tukubali tukatae watu waupe wametupiga gepu kubwa sana na tuna tuna safari ndefu kuwapata.
Ebu angalia Dubai alafu ujiulize Dar au Kampala zikija kufikia hatua hii itakuwa ni mwaka gani.
Na wewe pia.Sheikh Nikutakie siku njema rafiki yangu
Nakubaliana na wewe mkuu,mfano mimi huwa kuna kitu huwa nakitafakari na mwisho najipa majibu kuwa sisi weusi hatuna tofauti na wanyamaMungu alimpunja akili mtu mweusi.
Anayebisha aje tubishane kwa hoja
Pamoja kaka adri mimi ndugu yako bhana🤣🤣Utofauti wa mitazamo sio uadui ndio ubinadamu!!!Be blessed ndugu yanguNa wewe pia.
Kumbe na wewe unapenda mabadiliko ya utawala!Hata Dar ingeweza kuwa hivi endapo Watanzania wangeamua kuwajaribisha wengine zaidi ya wale wale wa kila siku!.
P
Kaka mayala nikusahiishe kidogo kwa manufaa yenu nyote wantanzania wenzangu bara na visiwani!!!Watanzania wajaribishe wengine ila ndani ya chama cha mapinduzi sio nje ya hapo sababu ilani yake ndio ilani bora ya chama cha siasa afrika nzima!!!!!Ni watu ty waliopewa dhamana kuitekeleza!!!Hata Dar ingeweza kuwa hivi endapo Watanzania wangeamua kuwajaribisha wengine zaidi ya wale wale wa kila siku!.
P
Los Angeles ni mji wa kibiashara kijana [emoji3][emoji3] GDP ya Los Angeles inajenga hizo artificial Dubai zako kama 2 hiviLos angeles na new york hazipo kwa the most modern cities in the world kwenye top 10. Jiji lililopo ni san francisco na ndilo linaongoza kwa marekani kwa kuwa modern. Majiji mengi yaliyomo ni nchi za Asia maana yamejengwa miaka ya hivi karibuni hivyo yana ylubunifu wa kisasa na technology za kisasa zaidi
Tunaongelea modern cities zilivyojengwa. Sasa wabishana na mimi au wabishana na mashirika yanayi rate miji. Hatuzungumzii GDP hapa, hata gdp ya India inaizidi France lakini hakuifanyi India kuwa na miundombinu bora kuliko France.Los Angeles ni mji wa kibiashara kijana [emoji3][emoji3] GDP ya Los Angeles anajenga inajenga hizo artificial Dubai zako kama 2 hivi
Mungu yupi sasa????Au mungu anaetokana na imani yako wewe according to ur name?????Mungu alimpunja akili mtu mweusi.
Anayebisha aje tubishane kwa hoja
Madogo hawajui ndio maana nawaambia wasafiri waone!!!LA ni level nyingine kabisa up there!!!Kwa sababu umordern wa mji ni zaidi ya majengo mazuri na miundombinuLos Angeles ni mji wa kibiashara kijana [emoji3][emoji3] GDP ya Los Angeles inajenga hizo artificial Dubai zako kama 2 hivi
Alisema nani kaka🤣🤣🤣🤣🤣Makamba mkubwa nini🤣🤣🤣Au makamba mdogo????Si tuliambiwa gesi ya Mtwara itafanya Mtwara kuwa kama Dubai ?
Yupi sasa kaka????Mungu wangu alieniumba sio mungu wa wengine!!!!!Kila mtu ana mungu wake kutokana na dini yake ndio maana nikamuuliza mungu yupi??????YEHOVA,ALLAH,ADONAI, JAH, KIFURA, LYAMBA, NYANGUZI, SHIVA, KRISHINA au Mungu yupi????Mungu aliye kuumba.
Nakubaliana na wewe mkuu,mfano mimi huwa kuna kitu huwa nakitafakari na mwisho najipa majibu kuwa sisi weusi hatuna tofauti na wanyama
Mfano unakuta mtaani kwenye barabara ya mtaani kwetu kinatokea kikorongo kidogo sana kinaanza kutuamisha maji lakin hutaona hata mtu mmoja anajitolea kukifukia mwisho wa siku linakuwa shimo kubwa mpaka barabara inashindikana kupitika na wakati huo,hapo hapo mtaani kuna watu wana magari
Sio mimi tuu, kuna Watanzania wengi wanataka mabadiliko, tatizo ni huo mbadala bado hatuna!. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-imechokwa-chadema-haijajipanga.87532/Kumbe na wewe unapenda mabadiliko ya utawala!
Ukiona thd imetaja Mwarabu na kumsifia kwa jambo lolote lile hua unaumia sana,lazima ujipitishe huku ukitingisha Ka...**oKaka upo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asalaam aleykuum!!!!Nimekusalimia kiarabu kaka!!!!!Au nikusalimie kibantu🤣🤣🤣🤣