Huyo mwalimu mtoe hapo katika watu waliofanya mpaka Leo tuwe hivi ni huyo mwalimu na mashoga zake kuleta Shobo za kudai Uhuru wakati tulikua hatujaweza kujitawala badoTangu tupate uhuru, baada ya mwalimu, akina JPM wangechukuwa usukani tungekuwa kama Dubai
Hayaifikii dubai katika lipi?????Kila mji una utofauti wake na uzuri wake Kampala haiwezi kua dubai na dubai haiwezi kua Kampala au Dar!!!!!Some member wa JF wawe wanatembea kwanza duniani kabla hawajatuletea nyuzi za namna hii!!!Kuna watu wametulia wanachora tu na kucheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimeshangaa unaitaja Dar na Kampala unalinganisha na Dubai
Hata baadhi ya majiji makubwa ya Marekani, Ulaya na Far East Asia hayaifikii Dubai
Takibr tushajua kaka mlengo wakoHuyo mwalimu mtoe hapo katika watu waliofanya mpaka Leo tuwe hivi ni huyo mwalimu na mashoga zake kuleta Shobo za kudai Uhuru wakati tulikua hatujaweza kujitawala bado
Uzi huu unahusiana vipi na kutowapenda wa magharibi mbona hakuna viashiria vyovyote ? wewe hapo ndio akili yako imekaa kichuki maana hakuna kitu chochote kinachohusiana na uarabu au uislamu isipokuwa lazima comment yako ya hovyo ipatikane ,na nilitaka kukutag baada ya kuangalia kwa haraka na kutoona comment yako.Huyo hawapendi wamagharibi yeye anawapenda wamashariki si unaona hata jina lake kwa kirefu lina maanisha nini🤣🤣🤣🤣🤣!!!!!!!Waafrika bhana umagharibi na umashariki unawafanya muwe maz...........u!!!!!
Niongezee hapo Dubai sio mji umekua kwa asili kama majiji mengine ila ni artificial, lakini kulinganisha na Los Angeles bado Dubai ipo juuLos angeles na new york hazipo kwa the most modern cities in the world kwenye top 10. Jiji lililopo ni san francisco na ndilo linaongoza kwa marekani kwa kuwa modern. Majiji mengi yaliyomo ni nchi za Asia maana yamejengwa miaka ya hivi karibuni hivyo yana ylubunifu wa kisasa na technology za kisasa zaidi
Dubai ni kariakoo ya dunia mkuu.Dubai inatisha,mwarabu akiletewa michoro mizuuri na mchina namna mji uwe yeye anamwaga hela tu.
hivi ni kweli miaka ya 60's Tanzania ilikua sawa kiuchumi na Dubai?.
Confirmed : You have gone totally crazy..Takibr tushajua kaka mlengo wako
Kaka upo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asalaam aleykuum!!!!Nimekusalimia kiarabu kaka!!!!!Au nikusalimie kibantu🤣🤣🤣🤣Uzi huu unahusiana vipi na kutowapenda wa magharibi mbona hakuna viashiria vyovyote ? wewe hapo ndio akili yako imekaa kichuki maana hakuna kitu chochote kinachohusiana na uarabu au uislamu isipokuwa lazima comment yako ya hovyo ipatikane ,na nilitaka kukutag baada ya kuangalia kwa haraka na kutoona comment yako.
Emoj kama hizo zinahusiana vipi na salamu ?Kaka upo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asalaam aleykuum!!!!Nimekusalimia kiarabu kaka!!!!!Au nikusalimie kibantu🤣🤣🤣🤣
Yaani unategemea kujua maovu ya Baba wa taifa la Tanzania mtukufu Nyerere kupitia tundu lissu🤣🤣🤣🤣Kweli umetisha mdogo wangu🤣🤣🤣🤣Umezaliwa mwaka gani hapa duniani???Confirmed : You have gone totally crazy..
Mbona Tundu Lisu ametoa kabisa clip akizungumzia maovu ya Nyerere na makosa katika utawala wake na yeye ni Takbir ?
#HunaAkili
Yeah Riyadh kumejengeka sana na usisahau Singapore city kaka!!!Ila Saudia inakuja kuipita Dubai..
Madogo hawajui 🤣🤣🤣🤣Achana na bongo bana Sasa Dubai unaweza pata mishikikaki ya mapumbu kama vingunguti??
Mleta mada anazungumzia modern citiesHayaifikii dubai katika lipi?????Kila mji una utofauti wake na uzuri wake Kampala haiwezi kua dubai na dubai haiwezi kua Kampala au Dar!!!!!Some member wa JF wawe wanatembea kwanza duniani kabla hawajatuletea nyuzi za namna hii!!!Kuna watu wametulia wanachora tu na kucheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwarabu anatumia pesa mambo ya dini ni basi tu lakini ana time nayo kiviile.Dubai bado mwarabu anaendelea kuijenga itatisha zaidi.Dubai ni kariakoo ya dunia mkuu.
Hapo mzungu kawekeza sana ndio maana hata sheria za dini sio kali kama nchi zingine za kiarabu na kiislam
Kaka Dubai ipo juu kwa majengo mapya na artificial architecture buildings!!!Lakini nikutake radhi LA ni na namba nyingine kwa utofauti wake kaka!!!!Niongezee hapo Dubai sio mji umekua kwa asili kama majiji mengine ila ni artificial, lakini kulinganisha na Los Angeles bado Dubai ipo juu
Kaka hasira za nn tena mara matusi🤣🤣🤣 karibu tule kaka!!!!Nimekusalimia asalaam aleykuum!!!!!Emoj kama hizo zinahusiana vipi na salamu ?
Ukiwa mjinga kama hivyo haistahili kujibiwa.
Kwa hapo nimekuelewa kakaMleta mada anazungumzia modern cities
Kwa hali ya kawaida huwezi kukaa ulinganishe Dar na Dubai kwenye u-modern
Dubai inapaswa ishindanishwe na majiji kama Shanghai, Chicago, Shenzhen, Singapore, Seoul, San Fransisco, Tokyo, Hong Kong na mengine ya type hiyo ingeleta mantiki
Wapi nimesema au kuashiria kuwa nategemea kujua maovu ya Nyerere kupitia Tundu Lisu au nasapoti kauli ya Lisu ?Yaani unategemea kujua maovu ya Baba wa taifa la Tanzania mtukufu Nyerere kupitia tundu lissu🤣🤣🤣🤣Kweli umetisha mdogo wangu🤣🤣🤣🤣Umezaliwa mwaka gani hapa duniani???