MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Qutary = QatarSasa mji umepwndeza wanakuja wageni wanafaidi, hata bia Dubai zipo walizingua Qutary kipindi cha WC.
Sa Dubai.wamejenga fukwe kalii zinafaidiwa na wageni? Hawa jamaa hawana shida na hela mafuta yanawatosha
Kukutana na mtu kama wewe mwenye fikra na mawazo ya kukashifu imani zingine kwenye maisha nje ya jamiiforums, ni hasara kubwa sana,ni bora nikutane au nionane na Ibilisi.Sheikh inshalaah karibu kisiwa ndui tunywe chai!!!Kuna maisha nje ya jamii forum kaka matusi ya nini sheikh!!!!!
Good 🫱🏻🫲🏽Qutary = Qatar
Mnafiki sana baba wewe, kisa umechukia kukosekana kwenye mkeka wa madc basi hasira zako unazileta kwenye chama. Halafu eti ulitaka upewe ubunge wa EALA mtu mwenye njaa kama wewe si ungetusaliti wewe.Hata Dar ingeweza kuwa hivi endapo Watanzania wangeamua kuwajaribisha wengine zaidi ya wale wale wa kila siku!.
P
We jamaa ni bure kabisa!Mungu alimpunja akili mtu mweusi.
Anayebisha aje tubishane kwa hoja
Afu nae ni MTU mweusi.sadWe jamaa ni bure kabisa!
Huna unalolijua bogus wewe!
Hayo maeneo yote yamezidiwa na Dubai pengine Shanghai inajitaidi.Dubai tu unashangaa hivyo? Ukifika los Angeles, New York au shanghai si utatambaa kabisa
Nilikula ugali kambale saafi kwenye mgahawa wa manka DubaiAchana na bongo bana Sasa Dubai unaweza pata mishikikaki ya mapumbu kama vingunguti??
Hupati teuziHata Dar ingeweza kuwa hivi endapo Watanzania wangeamua kuwajaribisha wengine zaidi ya wale wale wa kila siku!.
P
Tunajikataa mnoJamani tutumie muda wetu mwingi kusoma (kujifunza), kusikiliza zaidi kuliko kuongea sana ndo mana mungu alitujaaliwa wanadamu mdomo mmoja na masikio mawili ili tusikilize zaidi kuliko kuongea na cha mwisho kufanya uchunguzi. Laiti tungejua bahati ya kuwa watu weusi au waafrika sote tungelia kwa furaha na kumtukuza mungu. There's a-lot hidden about Africa and black people! Mfano rahisi kuna mazwazwa kadhaa kadhaa maarufu duniani walitaka kufichua baadhi ya siri zilizopo Africa na sisi watu weusi na sababu kwanini tupo hivi waliishia kuuwawa na kupewa uchizi wa maisha. Tujifunze ku-appreciate nature yetu na si vibaya kumpa sifa yake aliyepiga hata ila usipende kukufuru asili kwa sababu ya ujinga tu maskeen. Mungu akusamehe bwana Sandali Ali hujitambui ndomaana
Sasa siwame jenga kwa ajili ya kujipatia kipato ?Sasa mji umepwndeza wanakuja wageni wanafaidi, hata bia Dubai zipo walizingua Qutary kipindi cha WC.
Sa Dubai.wamejenga fukwe kalii zinafaidiwa na wageni? Hawa jamaa hawana shida na hela mafuta yanawatosha
Umeshiba viazi[emoji3][emoji3] Los Angeles ni jiji kubwa sana la California hakuna kitu Dubai inaizidi Los Angeles labda kwa baadaeHayo maeneo yote yamezidiwa na Dubai pengine Shanghai inajitaidi.
Umefika au unacoment hadithi?Umeshiba viazi[emoji3][emoji3] Los Angeles ni jiji kubwa sana la California hakuna kitu Dubai inaizidi Los Angeles labda kwa baadae
Tukija kwa new york ni habari nyingine
[emoji3][emoji3] nitajie sababu zinazofanya dubai ikae juu ya Los Angeles kwa kila kitu kwanzia uchumi,sanaa,bata,population,ujinga nk......Umefika au unacoment hadithi?
Kwa mzunguko wa pesa na fursa LA na Nyuyoki zipo mbali.Kwa maurembourembo ya kungangaa na harufu za sisha,marashi na majengo Dubai wapo juu.Umeshiba viazi[emoji3][emoji3] Los Angeles ni jiji kubwa sana la California hakuna kitu Dubai inaizidi Los Angeles labda kwa baadae
Tukija kwa new york ni habari nyingine
Hata mm najiuliza hivo ivoHii miji ipo hivyo kweli au ni picha za kompyuta haswa mpakato
Usikurupuke. Nioneshe kwenye uzi huu mtoa mada alipoonesha uchumi, sanaa, bata na population ya Dubai kwanza[emoji3][emoji3] nitajie sababu zinazofanya dubai ikae juu ya Los Angeles kwa kila kitu kwanzia uchumi,sanaa,bata,population,ujinga nk......