Hii ndiyo Dubai bwana

Hii ndiyo Dubai bwana

Hata Dar ingeweza kuwa hivi endapo Watanzania wangeamua kuwajaribisha wengine zaidi ya wale wale wa kila siku!.
P
Mnafiki sana baba wewe, kisa umechukia kukosekana kwenye mkeka wa madc basi hasira zako unazileta kwenye chama. Halafu eti ulitaka upewe ubunge wa EALA mtu mwenye njaa kama wewe si ungetusaliti wewe.
 
Jamani tutumie muda wetu mwingi kusoma (kujifunza), kusikiliza zaidi kuliko kuongea sana ndo mana mungu alitujaalia wanadamu mdomo mmoja na masikio mawili ili tusikilize zaidi kuliko kuongea na cha mwisho kufanya uchunguzi. Laiti tungejua bahati ya kuwa watu weusi au waafrika sote tungelia kwa furaha na kumtukuza mungu. There's a-lot hidden about Africa and black people! Mfano rahisi kuna mazwazwa kadhaa kadhaa maarufu duniani walitaka kufichua baadhi ya siri zilizopo Africa na sisi watu weusi na sababu kwanini tupo hivi waliishia kuuwawa na kupewa uchizi wa maisha. Tujifunze ku-appreciate nature yetu na si vibaya kumpa sifa yake aliyepiga hatua ila usipende kukufuru asili kwa sababu ya ujinga tu maskeen. Mungu akusamehe bwana Sandali Ali hujitambui ndomaana
 
Jamani tutumie muda wetu mwingi kusoma (kujifunza), kusikiliza zaidi kuliko kuongea sana ndo mana mungu alitujaaliwa wanadamu mdomo mmoja na masikio mawili ili tusikilize zaidi kuliko kuongea na cha mwisho kufanya uchunguzi. Laiti tungejua bahati ya kuwa watu weusi au waafrika sote tungelia kwa furaha na kumtukuza mungu. There's a-lot hidden about Africa and black people! Mfano rahisi kuna mazwazwa kadhaa kadhaa maarufu duniani walitaka kufichua baadhi ya siri zilizopo Africa na sisi watu weusi na sababu kwanini tupo hivi waliishia kuuwawa na kupewa uchizi wa maisha. Tujifunze ku-appreciate nature yetu na si vibaya kumpa sifa yake aliyepiga hata ila usipende kukufuru asili kwa sababu ya ujinga tu maskeen. Mungu akusamehe bwana Sandali Ali hujitambui ndomaana
Tunajikataa mno
 
Sasa mji umepwndeza wanakuja wageni wanafaidi, hata bia Dubai zipo walizingua Qutary kipindi cha WC.
Sa Dubai.wamejenga fukwe kalii zinafaidiwa na wageni? Hawa jamaa hawana shida na hela mafuta yanawatosha
Sasa siwame jenga kwa ajili ya kujipatia kipato ?
Kwani mmiliki wa Serena hotel naye anaishi ndani ya hiyo hotel ili naye ainjoy?
 
Umeshiba viazi[emoji3][emoji3] Los Angeles ni jiji kubwa sana la California hakuna kitu Dubai inaizidi Los Angeles labda kwa baadae

Tukija kwa new york ni habari nyingine
Kwa mzunguko wa pesa na fursa LA na Nyuyoki zipo mbali.Kwa maurembourembo ya kungangaa na harufu za sisha,marashi na majengo Dubai wapo juu.
 
[emoji3][emoji3] nitajie sababu zinazofanya dubai ikae juu ya Los Angeles kwa kila kitu kwanzia uchumi,sanaa,bata,population,ujinga nk......
Usikurupuke. Nioneshe kwenye uzi huu mtoa mada alipoonesha uchumi, sanaa, bata na population ya Dubai kwanza
 
Back
Top Bottom