Jamani tutumie muda wetu mwingi kusoma (kujifunza), kusikiliza zaidi kuliko kuongea sana ndo mana mungu alitujaaliwa wanadamu mdomo mmoja na masikio mawili ili tusikilize zaidi kuliko kuongea na cha mwisho kufanya uchunguzi. Laiti tungejua bahati ya kuwa watu weusi au waafrika sote tungelia kwa furaha na kumtukuza mungu. There's a-lot hidden about Africa and black people! Mfano rahisi kuna mazwazwa kadhaa kadhaa maarufu duniani walitaka kufichua baadhi ya siri zilizopo Africa na sisi watu weusi na sababu kwanini tupo hivi waliishia kuuwawa na kupewa uchizi wa maisha. Tujifunze ku-appreciate nature yetu na si vibaya kumpa sifa yake aliyepiga hata ila usipende kukufuru asili kwa sababu ya ujinga tu maskeen. Mungu akusamehe bwana
Sandali Ali hujitambui ndomaana